.Kama una bima ya biashara -bima yako itakulipa!
2. Kwani wewe hizo pesa zingeibiwa home- nani angelipa?
Ni ajali kama ajali zingine- ndo maana watu wanshauriwa wawe na bima za biashara!
__________________
banking law hiyo...kwa ushauri wa chap chap...hiyo hela haiko chini ya umiliki wa benki, na hivyo bima ya benki haiweza ku-cover. Kama hii ingekuwa ndo hali halisi, basi bima ya benki ingeweza kuingia hasara nyingi. Under my jurisdiction, pesa inakuwa katika mamlaka ya benki pale wanapokupa risiti ya kuwa wamepokea hela. Hata ukiangalia zile deposit box - mwisho wa form kuna a tear-off slip. Hichi huwa na a refrence number. Hivyo hii inaweza kutumika katika kuidhinisha kuwa pesa zilishaingia benki na hivyo kuwa chini ya bima yao.
2. kuhakikisha kuna usalama na uhalali katika hifadhi za pesa zake. 3, Usalama wa mteja anapoingia katika eneo la bank
Mtoto,
Naomba tujue kuwa kwa mujibu wa banking law mteja ana haki zifuatavyo:
1. kuhifadhiwa pesa zake 2. kuhakikisha kuna usalama na uhalali katika hifadhi za pesa zake. 3, Usalama wa mteja anapoingia katika eneo la bank 4. mteja haruhusiwi kubughuthiwa au kutishwa akiwa ndani ya bank ( hapa ndipo panapozuia polisi au mtu yoyote mwenye silaha kuingia katika enep la bank.
Sasa mimi nipo zaidi kwa haki za mteja. napenda kujua mfano majambazi hayo yamekamatwa na kufikishwa mbele ya vyombo vya sharia. Je mteja aliyenyeng'anywa pesa kabla ya kumkabidhi teller ana nafasi gani katika kudai haki yake?
lazima sheria itakuwa imepembua hapo kwenye haki ya mteja ndani ya bank kwa kuzingatia kuwa haruhusiwi kuwa na silaha au kuwa na mlinzi ndani ya bank?
Kuna umuhimu mkubwa kuijulisha jamii haki zao.
Nasriyah
.But i would imagine kuwa sheria italinda benki zaidi ya mteja, kwa sababu benki haiwezi ku-guarantee total safety ya eneo lao. Ujambazi wa uliofanyika hapo ulikuwa wa silaha hatari. Sasa kama benki inachukua responsibility yote na jinsi zinavyoibiwa, duh! Si zitafilisika?

.pamoja na sheria za benki na bima hapo nauona utata dhahiri, sijajua uthibitisho wa kwamba mteja A alikuwa na 2m na mteja B alikuwa hana kitu ila alikuja kuchukua pesa, hapo pa kulipwa hata bima nayo itakuwa imeweka masharti magumu haita kuwa rahisi mtu kuclaim tukuwa niliingia bank nikiwa na milioni 5 na sasa zimeporwa akalipwa. anyway siko kwenye fani ya uanasheria hivyo cijui sana mambo hayo ila kwa uelewa wa kawaida naona itakuwa ngumu sana
pamoja na sheria za benki na bima hapo nauona utata dhahiri, sijajua uthibitisho wa kwamba mteja A alikuwa na 2m na mteja B alikuwa hana kitu ila alikuja kuchukua pesa, hapo pa kulipwa hata bima nayo itakuwa imeweka masharti magumu haita kuwa rahisi mtu kuclaim tukuwa niliingia bank nikiwa na milioni 5 na sasa zimeporwa akalipwa. anyway siko kwenye fani ya uanasheria hivyo cijui sana mambo hayo ila kwa uelewa wa kawaida naona itakuwa ngumu sana