Kaitaba JF-Expert Member Joined Jun 30, 2009 Posts 915 Reaction score 54 Jun 30, 2009 #1 Wale wote walio kuwa wamepanda mbegu DECI Mabibo wanatakiwa kuliport mabibo tarehe 1 julai 2009 saa 4 asubuhi kuonana na wawakilishi wa serikali ili kupanga namna ya kurudishiwa mbegu zao.
Wale wote walio kuwa wamepanda mbegu DECI Mabibo wanatakiwa kuliport mabibo tarehe 1 julai 2009 saa 4 asubuhi kuonana na wawakilishi wa serikali ili kupanga namna ya kurudishiwa mbegu zao.
C chuku Member Joined Jun 9, 2009 Posts 40 Reaction score 0 Jun 30, 2009 #2 nashukuru kwa taarifa.hujasikia huku Arusha.