Hahahaha! Nachompendea jamaa akienda sehemu yeyote ile yenye hadhira lazima ampambe mkulu.hello wanajamii,
Nadhani mkuu wa mkoa wetu, anajitahidi kwa kuwa na maono ya jinsi Dar yetu iweje,
Mie naona,kitu anachokikosa ni ufundi/technicality pamoja na Finances
tusaidiane kumpa support,
I just think,afungue charity yake,ambayo itawork independently from the government.
Atafute volunteers wa skills tofauti,kama alivyowapata madoctors wa kucheki afya once per year,ndivyo hivyo atafute watu wa skills nyingine,mfano engineers,watu wa research and marketing,wawepo kwenye kamati yake,
Afungue number/hotline watu wachangie hata kwa M-Pesa,
nimeona hili wazo litamfaa sana,
sababu itampa power,kumake decisions yeye kama mkuu,
afanye nini kutumia resources alizonazo,kuimplement wazo lake
sio sasa hivi
Mpaka apewe 'ruhusa' kutoka juu,
na saa nyingine hamna hela kutoka kwenye serikali,
so anakuwa stuck,
Mnamkejeli,sababu hamjui kuwa wapi anakwama,
trust me,Makonda akianzisha Charity,DAR yetu itapendeza.
Rebe, najua uko kwenye mafuta, nioe bas, nam niinjoi keki ya nchi yanguhello wanajamii,

Wazo lako ni zuri.ila sasa mkuu,
hali za wana dsm unazijua? Kuna watu wanakula mara moja kwa siku
_ kuna watu hawajui ladha ya chai
kwa kifupi hali za wana dsm wengi ni mbaya kiuchumi.labda kwa wachache,unaposema hivyo kama unawadhihaki.
Rebe, najua uko kwenye mafuta, nioe bas, nam niinjoi keki ya nchi yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha mkuu nakuona unaitafuta kitonga kiaina !Rebe, najua uko kwenye mafuta, nioe bas, nam niinjoi keki ya nchi yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
R.e.b.e.c.a acha u.s.e.e.e.e.e.n.g.ehello wanajamii,
Nadhani mkuu wa mkoa wetu, anajitahidi kwa kuwa na maono ya jinsi Dar yetu iweje,
Mie naona,kitu anachokikosa ni ufundi/technicality pamoja na Finances
tusaidiane kumpa support,
I just think,afungue charity yake,ambayo itawork independently from the government.
Atafute volunteers wa skills tofauti,kama alivyowapata madoctors wa kucheki afya once per year,ndivyo hivyo atafute watu wa skills nyingine,mfano engineers,watu wa research and marketing,wawepo kwenye kamati yake,
Afungue number/hotline watu wachangie hata kwa M-Pesa,
nimeona hili wazo litamfaa sana,
sababu itampa power,kumake decisions yeye kama mkuu,
afanye nini kutumia resources alizonazo,kuimplement wazo lake
sio sasa hivi
Mpaka apewe 'ruhusa' kutoka juu,
na saa nyingine hamna hela kutoka kwenye serikali,
so anakuwa stuck,
Mnamkejeli,sababu hamjui kuwa wapi anakwama,
trust me,Makonda akianzisha Charity,DAR yetu itapendeza.
charity hzo pesa si tutamchangia yy na familia yake,,watu wameiba hela za rambi rambi huko bukoba leo tuchangie charityhello wanajamii,
Nadhani mkuu wa mkoa wetu, anajitahidi kwa kuwa na maono ya jinsi Dar yetu iweje,
Mie naona,kitu anachokikosa ni ufundi/technicality pamoja na Finances
tusaidiane kumpa support,
I just think,afungue charity yake,ambayo itawork independently from the government.
Atafute volunteers wa skills tofauti,kama alivyowapata madoctors wa kucheki afya once per year,ndivyo hivyo atafute watu wa skills nyingine,mfano engineers,watu wa research and marketing,wawepo kwenye kamati yake,
Afungue number/hotline watu wachangie hata kwa M-Pesa,
nimeona hili wazo litamfaa sana,
sababu itampa power,kumake decisions yeye kama mkuu,
afanye nini kutumia resources alizonazo,kuimplement wazo lake
sio sasa hivi
Mpaka apewe 'ruhusa' kutoka juu,
na saa nyingine hamna hela kutoka kwenye serikali,
so anakuwa stuck,
Mnamkejeli,sababu hamjui kuwa wapi anakwama,
trust me,Makonda akianzisha Charity,DAR yetu itapendeza.
charity hzo pesa si tutamchangia yy na familia yake,,watu wameiba hela za rambi rambi huko bukoba leo tuchangie charity
Sent using Jamii Forums mobile app
Najua mkuu, unamtetea mkuu wa mkoa wa dar, watu kama nyie nawaheshim sana, hamjui hali ngumu,. Huwa nawaita ndio mnaofaidi keki ya nchi yetu.mkuu wapi huko kwenye mafuta???lol
Don't seduce her like that! Ali kiba amekataa!Rebe, najua uko kwenye mafuta, nioe bas, nam niinjoi keki ya nchi yangu
Sent using Jamii Forums mobile app