Wana Dar es salaam madhara kunywa maji ya baridi wakati wa kula chakula

MakinikiA

JF-Expert Member
Jun 7, 2017
5,011
6,542
Watanzania wengi hupendelea kunywa maji au soda baridi wakati wa kula au muda mfupi baada ya kula chakula

Wataalamu wa masuala ya afya wanaeleza kuwa ni hatari kunywa maji ya baridi wakati na baada ya kula kwani tabia hiyo ikifanywa kwa muda mrefu husababisha mangonjwa ya moyo na shinikizo la damu

Kwa uchache yafuatayo ni madhara ya kunywa maji baridi wakati na baada ya kula;

Maji au kimiminika baridi hugandisha mafuta yaliyopo kwenye chakula

Hupunguza kasi na kuharibu utaratibu wa mfumo wa mmeng'enyo wa chakula

Kunywa maji baridi baada na wakati wa mlo huchochea ugonjwa wa saratani

INASHAURIWA: Tumia maji ya uvuguvugu nusu saa kabla na baada ya kula chakula chako

=======

Heart Attacks and drinking warm water

Dear All,

A very good article which takes two minutes to read. I’m sending this to persons I care about.......I hope you do too!!!

Heart Attacks And Drinking Warm Water

This is a very good article. Not only about the warm water after your meal, but about Heart Attacks. The Chinese and Japanese drink hot tea with their meals, not cold water, maybe it is time we adopt their drinking habit while eating.

For those who like to drink cold water, this article is applicable to you. It is very Harmful to have Cold Drink/Water during a meal. Because, the cold water will solidify the oily stuff that you have just consumed. It will slow down the digestion. Once this 'sludge' reacts with the acid, it will break down and be absorbed by the intestine faster than the solid food. It will line the intestine. Very soon, this will turn into fats and lead to cancer . It is best to drink hot soup or warm water after a meal.

French fries and Burgers are the biggest enemy of heart health. A coke after that gives more power to this demon. Avoid them for your Heart's Health.

Common Symptoms Of Heart Attack.

A serious note about heart attacks - You should know that not every heart attack symptom is going to be the left arm hurting. Be aware of intense pain in the jaw line.

You may never have the first chest pain during the course of a heart attack. Nausea and intense sweating are also common symptoms. 60% of people who have a heart attack while they are asleep do not wake up. Pain in the jaw can wake you from a sound sleep. Let's be careful and be aware. The more we know, the better chance we could survive.

A cardiologist says if everyone who reads this message sends it to 10 people, you can be sure that we'll save at least one life. Read this & Send to a friend. It could save a life... So, please be a true friend and send this article to all your friends you care about.

I JUST DID
 
Kuna ukweli kwenye hii makala lakini kwa uzoefu wangu katika haya mambo ningeshauri yafuatayo:

1. Usinywe kabisa maji wakati au muda mfupi baada ya kula. Maji yana-dilute vimeng'enya chakula vilivyopo mdomoni na tumboni na kuathiri mfumo wa umeng'enyaji wa chakula. Matokeo yake ni chakula kuvunda tumboni kwa kukaa muda mrefu bila kumeng'enywa na kusababisha tatizo la gesi n.k

1. Kunywa maji nusu saa kabla ya kula ama saa moja baada ya kula.

1. Muda wa kula ni wa kula epuka kula huku unaangalia tv ama kuongea kwenye simu (nitalisema hili siku moja).

Anza mlo wako kwa kutanguliza tunda ama juisi ya matunda si soda tafadhali kisha kula kwa kutafuna vizuri chakula kichanganyike na mate na si kumeza kama mamba. Acha kula pale utakapogundua ladha imepotea, na mwisho kula tu pale unapohisi njaa na si kila uonapo chakula.
 
UKUTE KITU CHA DONA MIXA NA MUHOGO KINAFUKA MOSHI PEMBENI MBOGAMBOGA NA SAMAKI ALAFU UNYWE MAJI BAADA YA LISAA LIMOJA MNAFANYA MCHEZO KWA MZIGO ULETUMBONI LAZIMA UVUNJE MGONGO
 
Chananya na maziwa mgando na soda coca cola
 
UKUTE KITU CHA DONA MIXA NA MUHOGO KINAFUKA MOSHI PEMBENI MBOGAMBOGA NA SAMAKI ALAFU UNYWE MAJI BAADA YA LISAA LIMOJA MNAFANYA MCHEZO KWA MZIGO ULETUMBONI LAZIMA UVUNJE MGONGO
Hahaa anataka akienda chooni liwe "tukio" maana ataita mke na majirani waje kusaidia kukamua "nnya" iliyogeuka jiwe
 
Kuna ukweli kwenye hii makala lakini kwa uzoefu wangu katika haya mambo ningeshauri yafuatayo:

1. Usinywe kabisa maji wakati au muda mfupi baada ya kula. Maji yana-dilute vimeng'enya chakula vilivyopo mdomoni na tumboni na kuathiri mfumo wa umeng'enyaji wa chakula. Matokeo yake ni chakula kuvunda tumboni kwa kukaa muda mrefu bila kumeng'enywa na kusababisha tatizo la gesi n.k

1. Kunywa maji nusu saa kabla ya kula ama saa moja baada ya kula.

1. Muda wa kula ni wa kula epuka kula huku unaangalia tv ama kuongea kwenye simu (nitalisema hili siku moja).

Anza mlo wako kwa kutanguliza tunda ama juisi ya matunda si soda tafadhali kisha kula kwa kutafuna vizuri chakula kichanganyike na mate na si kumeza kama mamba. Acha kula pale utakapogundua ladha imepotea, na mwisho kula tu pale unapohisi njaa na si kila uonapo chakula.
.........kuongea na simu sawa ila kuangalia Tv wakati nakula nitapata madhara gani?
 
Ni zaidi ya unavyodhani. Mwili wa binadamu umeumbwa kwa namna ambayo kemikali zinafanya kazi katika muda unaotakiwa. Unapoona tukio la kufurahisha ama kusikitisha mwili unaachia kemikali kuendana na jambo hilo na kama ulikuwa unakula utaathiri namna chakula kinavyotakiwa kifanyiwe kazi tumboni. Mfano mdogo tu mtu mwenye hasira, furaha kupita kiasi, msononeko hawezi kula vizuri. Hili ni jambo lisiloonekana na linahitaju muda kulielewa boss
 
Asante sana chief,ni tabia yangu hii itanibidi kubadilika.
 
Kuna ukweli kwenye hii makala lakini kwa uzoefu wangu katika haya mambo ningeshauri yafuatayo:

1. Usinywe kabisa maji wakati au muda mfupi baada ya kula. Maji yana-dilute vimeng'enya chakula vilivyopo mdomoni na tumboni na kuathiri mfumo wa umeng'enyaji wa chakula. Matokeo yake ni chakula kuvunda tumboni kwa kukaa muda mrefu bila kumeng'enywa na kusababisha tatizo la gesi n.k

1. Kunywa maji nusu saa kabla ya kula ama saa moja baada ya kula.

1. Muda wa kula ni wa kula epuka kula huku unaangalia tv ama kuongea kwenye simu (nitalisema hili siku moja).

Anza mlo wako kwa kutanguliza tunda ama juisi ya matunda si soda tafadhali kisha kula kwa kutafuna vizuri chakula kichanganyike na mate na si kumeza kama mamba. Acha kula pale utakapogundua ladha imepotea, na mwisho kula tu pale unapohisi njaa na si kila uonapo chakula.
uko sahihi kabisa
 
Mbona niliona wazungu wanakula chakula komoja kimoja hali huku bongo sahani moja mchanganyiko wali.mchicha.nyama.na maharage je huwezi pata tatizo la tumbo
 
Back
Top Bottom