Wana-CHADEMA mliopo Chalinze

Wana-CHADEMA mliopo Chalinze

VISEKI

Member
Joined
Jan 5, 2014
Posts
8
Reaction score
9
TAARIFA KWENU MLIOPO CHALINZE:

kwanza kabisa nitoe shukrani zangu za dhati nyingi sana kwa wana kalenga najua wengi walitukubari lakini vitisho na ubabe wa ccm umefanya wananchi kuogopa sana adi wale waliokuwa wanaumwa hospital kulazimishwa kutoka na machera zao kwenda kupiga kura kwa kuoneshwa bastola na bunduki mbele ya polisi wakiangalia nakufumbia macho kama vile awaoni, ikiambatana na watu wengi wa CHADEMA kukumatwa na kufikishwa ofisi ya ccm mkoa ambako walipewa mateso mengi kama wanaume kulazimishwa kufanya mapenzi ya jinsia moja na wengine mabinti kubakwa na greenguard wa ccm inasikitisha sana tunashukuru Mungu alimsaidia kamanda wetu mmoja ambaye alikuwa anaenda kuchomwa moto katika poli moja wapo lililopo katika mji wa kalenga.

USHAURI WANGU KWA WANACHALINZE NA MAKAMANDA WOTE MLIOPO CHALINZE:
jipangeni sana kiulinzi kama kuna uwezo wakumiliki ivyo wanavimiliki wao kuweni navyo ila kuweni makini sana kwani hakuna msaada tena mbele ya polisi ni Mungu tu ndie anayeweza kutuokoa.

CHADEMA BADO TOKO IMARA
 
Nenda kajifunze kuandika vizuri na ujifunze uongo angalau unaofanana na ukweli. Cha pili tupa hicho kiroba na ganja unayovuta ili akili zirudi sawa.
 
Hawa jamaa baadhi wanafanana hakiri zao na uongo wao! NENDA CHALINZE UKABAKWE NAWEWE maana unapenda sana mapenzi ya jinsia moja.
 
Kiboko yenu ni WARIOBA tu kawapiga kimya cha mwaka
 
Back
Top Bottom