tikatika
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 2,330
- 4,119
Tanzania ni nchi yenye vyama vingi, lakn vyama vingi vimeshindwa kuleta tija baada ya wanachama wake kuwa kama mwamba ngoma. Kila mtu huvutia kwake badala ya kuvutia kwa taifa letu.
Lakn kadri siku zinavyosonga wana ccm wamezid wananchi wote kwa kujitoa ufaham kwa yanayo endelea hapa nchini. Hebu tafakari haya yafuatayo kupongezwa na wana ccm. Na mengine shangaa wana ccm wanavyojitoa akili kana kwamba hakuna anaye waona na kudiriki kuyaongea hadharani mambo ambayo hayakupaswa kuongewa na mtu mwenye akili timamu.
Hiz ni baadhi ya kauli zinazopongezwa kama sio kushabikiwa japo zimejaa ukakasi usio kifani.
Rais Magufuli Hakuna serikali duniani iliyowahi kuwajengea wananchi wake nyumba waliopatwa na maafa. Wana ccm wanaitikia ndiyoooo , kweli Rais wetu. Wakati ni uongo!!
Rais Magufuli mliopatwa na maafa msisubiri chakula cha msaada bali makalime maana ardhi imejaa kijani !! watu wanashangilia na kuitikia ndiyooooo. Kana kwamba ukilima leo unavuna kesho.
Pole pole , mwenezi wa ccm Mheshimiwa rais anatekeleza rasim ya Jaji Warioba hivyo kwa sasa haina umuhim wa katiba mpya! Maana yake Magufuri amekua katiba. Wakati yeye ndio alikua mwandishi wa katiba. Wana ccm wanaitikia ndioooooooo.
waziri mkuu wanaoruhusiwa kuikosoa serikali ni wabunge tu tena wakiwa bungeni . Hakuna mwenye mamlaka ya kuikosoa serikali. Wana ccm wakaitikia ndiooooooo.
Zipo kauli nyingi sana ambazo viongozi wetu na wana ccm wanazitoa na watu wanazishabikia kwa kujitoa akili . Naacha nafasi na wengine waweke kauli mbali mbali ambazo zilipaswa kukemewa na kila raia wa Tanzania kwa faida ya nchi yetu. Hebu ziweke hapa chini kauli ambazo hazikupaswa kutolewa na hata kuungwa mkono na mtu yeyote yule.