Wana CCM hili jambo lichunguzeni kwa makini

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Sep 30, 2011
18,851
35,034
CCM jichunguzeni kama ni kweli chama chenu kimekuwa "Kipya" ama kimerudi kwa watu wale wale wa zamani.

CCM imejitenga kwa watu walioifikisha Tanzania hapa ilipo ama tayari wenye chama chao wamekirudisha kwa watu wale wale kila siku tunasema walikuwa ni wapigaji?

CCM ni chama kichafu kiasi kwamba kila anayesafishwa na CHADEMA anaonekana kama ni zawadi toka mbinguni?

Hivi CCM ni chama cha kibepari ama ni chama cha Kijamaa. Kama ni ubepari basi ni waina gani na kama ni ujamaa huo ujamaa unapimwaje?

Kama ni kweli CHADEMA huwa inachukua "makombo" toka CCM, ni kwa nini tena ni CCM ambayo huja baadae kutumia nguvu kubwa sana kuwarudisha CCM wale wale iliyowaita "makombo" hapo awali?

1552477986841.png

Hii picha imenifikirisha sana. Hapo Rostam Aziz ambaye wana CCM wengi walisema ni mchafu sana akiwa amekaa kiti kimoja na Lowassa ambaye sijui leo Mwakyembe atasemaje kurudi kwake CCM.

Wazungu wanasema "Picha inaongea zaidi kuliko maneno Elfu" Lowassa na Rostam ndiyo wamekalia sofa wakati Mwenyekiti wao Magufuli na Katibu wake Bashiru wamekalia "Office chair".

Ukiangalia kwa makini wenye nguvu kwenye mazungumzo yaliyokuwa yanaendelea inaelekea wenye mazungumzo walikuwa ni Lowassa na Rostam na siyo Magufuli na Bashiru. Yaani ni kama vile wageni ndiyo wanasikilizwa.
 
Nitachangia kikwaresmakwaresma..."Na ninyi viongozi nitawapaka nyuso zenu mavi naam mavi ya sadaka zenu kwa mnaniibia Mimi"mwisho wa kunukuu
 
CCM jichunguzeni kama ni kweli chama chenu kimekuwa "Kipya" ama kimerudi kwa watu wale wale wa zamani.

CCM imejitenga kwa watu walioifikisha Tanzania hapa ilipo ama tayari wenye chama chao wamekirudisha kwa watu wale wale kila siku tunasema walikuwa ni wapigaji?

CCM ni chama kichafu kiasi kwamba kila anayesafishwa na CHADEMA anaonekana kama ni zawadi toka mbinguni?

Hivi CCM ni chama cha kibepari ama ni chama cha Kijamaa. Kama ni ubepari basi ni waina gani na kama ni ujamaa huo ujamaa unapimwaje?

Kama ni kweli CHADEMA huwa inachukua "makombo" toka CCM, ni kwa nini tena ni CCM ambayo huja baadae kutumia nguvu kubwa sana kuwarudisha CCM wale wale iliyowaita "makombo" hapo awali?

View attachment 1044730
Hii picha imenifikirisha sana. Hapo Rostam Aziz ambaye wana CCM wengi walisema ni mchafu sana akiwa amekaa kiti kimoja na Lowassa ambaye sijui leo Mwakyembe atasemaje kurudi kwake CCM.

Wazungu wanasema "Picha inaongea zaidi kuliko maneno Elfu" Lowassa na Rostam ndiyo wamekalia sofa wakati Mwenyekiti wao Magufuli na Katibu wake Bashiru wamekalia "Office chair".

Ukiangalia kwa makini wenye nguvu kwenye mazungumzo yaliyokuwa yanaendelea inaelekea wenye mazungumzo walikuwa ni Lowassa na Rostam na siyo Magufuli na Bashiru. Yaani ni kama vile wageni ndiyo wanasikilizwa.
umeona mbali kwelikweli saruti kwako
 
Mbuyu ukikata weee mwezi, mwaka, miaka 3 bado tu!! Ukumbatie Fanya mengine. Magu amejitahidi kutengeneza CCM mpya kwa miaka 3 ameshindwa kwahiyo ili kuwa imara kwenye next election amerudisha CCM ya zamani. If you can't fight them, join them.

Barafu la moto
Indeed.
 
Back
Top Bottom