white wizard JF-Expert Member Joined May 18, 2011 Posts 8,618 Reaction score 13,896 Dec 27, 2011 #1 kuna huduma ya kupata sms 100,kwa siku kutoka airtel,baada ya kutuma neno"jiachie'.na wanakata tsh.400.kwenda namba fulani,naombeni mwenye kujua namba hiyo anisaidie.nawasilisha wakuu.
kuna huduma ya kupata sms 100,kwa siku kutoka airtel,baada ya kutuma neno"jiachie'.na wanakata tsh.400.kwenda namba fulani,naombeni mwenye kujua namba hiyo anisaidie.nawasilisha wakuu.
deedee JF-Expert Member Joined Sep 19, 2010 Posts 258 Reaction score 429 Dec 27, 2011 #2 tuma kwenda 15353
white wizard JF-Expert Member Joined May 18, 2011 Posts 8,618 Reaction score 13,896 Dec 27, 2011 Thread starter #3 deedee said: tuma kwenda 15353 Click to expand... Asante mkuu.