singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,536
Uchaguzi umekwisha badala ya kuwatumikia wananchi waliowachagua wameshaanza figisufigisu, ikifika 2020 watasema wameibiwa wakati hawana mikakati wala sera za kuwahudumia wananchi katika majimbo na kata walizoshinda