wami ni kero tupu leo

TwendeSasa

Senior Member
May 24, 2008
128
116
kumetokea ajal hapa daraja la wami watu watatu wamekufa papo hapo ajali imehusisha gar aina ya fuso..kilichowakumba abiri wanaenda arusha na wanaoenda dar ni folen yan hakupitk kabisa.. Tanzania hakuna emergence responce kabisa yan watu ni weng kwelikwel na magar ni mengi sana.naona wanajesh wameamua wasimamie
 
Poleni sana, mutawahi krismas kweli mgombani kesho? Hiyo gari iliyopata ajali imeziba barabara?
 
kumetokea ajal hapa daraja la wami watu watatu wamekufa papo hapo ajali imehusisha gar aina ya fuso..kilichowakumba abiri wanaenda arusha na wanaoenda dar ni folen yan hakupitk kabisa.. Tanzania hakuna emergence responce kabisa yan watu ni weng kwelikwel na magar ni mengi sana.naona wanajesh wameamua wasimamie

Poleni sana, Hiyo ajali imehusisha gari zipi.
 
tunashukuru sana..gar iliziba barabara na ndo wamemalza kulitoa msala ni jinsi ya kupita na unajua daraja letu hili linapita gar mojamoja
 
Mwambieni huyo Mtalii hapo ndipo palifaa Mtoni Flyovers mbili.

Hivi yuko Marekani sijuo kama aneliskikia hili.

Mto Maragarasi/Nguruka waweke Daraja mbili, Wami na Kirumi/Tarime sitataja huku kusini kwa sababu tayari Mto Rufiji na Ruvuma kuna madaraja mazuri na bora zaidi Afrika mashariki na Kati.
 
Back
Top Bottom