Wameshajihakikishia Urais

Sasa kama Miwaya imetoka Nec ikaenda NIDA halafu ccm kuna nini tena?
 
Wasisahau ya 2021

Yatajirudia 2026

Yule Nchimbi naye akikataa reform yatajirudia 2031

Mpaka pale reform zitakapofanyika na nchi hii kupata Viongozi bure ili waje kututumikia bure

No reform no Election sio ajenda ya Chadema ni ajenda umma

Waendelee kushupaza shingo tu!!
 
Unamfunga mpinzani mkuu halafu unafanya uchaguzi?. Ccm na makaburu hawana tofauti
 
2026 hakuna kitu kinatokea
 
2026- Ni mwaka wa namba Moja, tutashuhudia mambo mengi sana ya kiuongozi yakianza upya. Ni mwaka wa viongozi " leaders"
naam mkuu, lakini kitendo cha rais kuondoka madarakani kimefanya miaka hii yote iwe mpera mpera,

tupo kushuhuda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…