Wamepiga mbonji

Kwa sababu walihudhuria sherehe hiyo kwa mujibu wa madaraka yao. walikuwa hawapendi ikabidi ndo maana usingizi ukawachukua
 
Hadi shemeji ya jk naye kalala kama akili yake ilivyolala.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Siyo kwamba wanasali jamini, yaani na makamanda wa Policcm nao wameuchapa?
 
Sasa kama kuna taarifa za ki intelejensia mpaka waamshwe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…