Wamejaa kwenye mfumo maskini yao

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,393
Reaction score
38,823
Tukio la kukamatwa kwa watu wanaodaiwa kujihusisha na biashara ya dawa za kulevya limeripotiwa katika eneo la Mwenge.

Kwa taarifa za awali, watuhumiwa hao wamekamatwa wakiwa na kiasi kikubwa cha dawa zinazodaiwa kuwa za kulevya.

Tukio hilo limeibua mjadala kuhusu biashara haramu ya dawa za kulevya na namna inavyoendelea kuwa changamoto katika jamii.

Je, hatua kali zaidi zinapaswa kuchukuliwa dhidi ya wanaojihusisha na biashara hii?

#HalisiMax #Tanzania #Mwenge
 

Attachments

  • 1794352665209.jpg
    140.1 KB · Views: 3
Acha watu wasake pesa. Unafikiri hiyo mijengo unayoiona mjini ni kwa sababu ya kuuza azam sembe au azam juisi?

NB NI HARAM KAMA WEWE SIO MMOJA WA WAFANYA BIASHARA HIYO.
 
Utajiri wa ndugu zetu mitaani una siri sana.Unaona mtu wa maana kumbe dili chafu zahusika.Ford ranger na wao goodbye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…