Wameiba kura uko wapi?

Mu-sir

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Posts
3,621
Reaction score
1,644
Kwenye moja ya threads zako uliwahi kusema juu ya kufungua dojo kwa ajili ya kufundisha kung-fu mwezi huu wa January. Mimi ni mmoja wa wapenzi wakubwa wa mchezo huu na ninasubiri kwa hamu sasa sijui umefikia wapi ndugu yangu. Au ndo wameiba kura?
 
mbona darasa tushaanza...wewe ulikuwa wapi?
 
preta mbona hatupeani taarifa? Mimi niko huku kwenye joto. Vipi darasa limeanza lini? Na je unamudu mazoezi.... Au ndo ulishakimbia.
 
Kwenye moja ya threads zako uliwahi kusema juu ya kufungua dojo kwa ajili ya kufundisha kung-fu mwezi huu wa January. Mimi ni mmoja wa wapenzi wakubwa wa mchezo huu na ninasubiri kwa hamu sasa sijui umefikia wapi ndugu yangu. Au ndo wameiba kura?

Mkubwa ile ilikuwa filmee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…