Hawa Jamaa huwa siwaelewi utakuta wanawapiga waandamanaji wenye madai ambayo yana maslai hata kwao,wanalala kwenye nyumba za Bati fullsuit utadhani mifugo hali ukombozi huwa ni maslai yao pia.Ndo maana wanajeshi wa Sudan wameamua kuwatandika waache kuzuia watu kuandamana kwa amani, wanatumia kama kondomu na wanasiasa.