Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na viongozi wa jamii ya
wamasai wanaoishi mkoa wa Pwani. Kiongozi mkuu wa jamii hiyo, Laiboni
Tikwa Moreto (wa pili kushoto), Majaliwa Lihalei na Zuberi Tangono
katika hafla ya kuukaribisha mwaka mpya kijijini Msoga, Chalinze,
Mkoa wa Pwani.
View attachment 215058
Nikajua wamemlamba bakora kidgo.
Wamemvaaje sasa make ninachokiona anazungumza na watu wake wakishauriana mambo kadha wa kadha hayo ya kumvaa sijui yanatoka wapi.Ushaambia wamemvaa inatosha
Nachojua mpaka kesho jk ataendelea kuwa kiongozi bora kabisa katika kuwatumikia watu.
Mkuu umezoe kulambwa kwahiyo kila mtu unampeleka huko tu.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na viongozi wa jamii ya
wamasai wanaoishi mkoa wa Pwani. Kiongozi mkuu wa jamii hiyo, Laiboni
Tikwa Moreto (wa pili kushoto), Majaliwa Lihalei na Zuberi Tangono
katika hafla ya kuukaribisha mwaka mpya kijijini Msoga, Chalinze,
Mkoa wa Pwani.
View attachment 215058
ipo siku we acha tu