Wamasai rudini shule sasa

Mbeky

JF-Expert Member
Jun 3, 2013
672
516
Wamasai ni kundi la watanzania wachache waliofanikiwa kutunza mila zao kwa kipindi kirefu sasa ingawa naona speed ya utandawazi inaelekea kufunika.
back to the topic, hapo miaka ya tisini kuja mpaka elfu mbili mwanzoni liliibuka kundi la wamasai kibao wakija mijini kutafuta kazi za ulinzi almarufu watchmen, kwa kweli waliaminika nakupewa kulinda nyumba nyingi tu sababu kubwa ikiwa eti hawa jamaa ni wakali na wanaweza kutoa kichapo vizuri.
Miaka ya hivi karibuni yameibuka makupuni mengi ya ulinzi binafsi almarufu security guard nakumaliza kabisa ka sio kutupia mbali ajira za wamasai.
Sasa ndugu zetu hawa wamegoma kurudi makwao kuchunga ng'ombe elimu ya form 4 yakuwawezesha kuajiriwa na haya makampuni ya ulizi hawana matokeo yake wamekua wakishinda kwenye mabar wakicheza kamali kwenye mchezo wa pool table wengine wanazunguka na vimijiti wakidai vinaongeza nguvu Mwenge stand wameamua kushindana na dada zetu kusuka yahani wemekua wajanja wajanja tu hawaeleweki.
ushauli wangu ndugu zangu wamasai rudi darasani mkasome
 
Ni kweli kabisa hawa jamaaa inabidi wajipange na hali ya sasa.Kutokana na ukosefu wa ajira baadhi ya wamasai wamejiingiza kwenye mtandao wa wizi wa magari.kuna jirani yangu alikua na gari mbili rav 4 kwa ajili yake na Noah kwa ajili ya wife.Akamua kuajiri wamasai wamlindie nyumba yake.wamasai walifanyakazi kwa uaminifu kwa kipindi cha miezi miwili huku wanasoma ramani ya pale Nyumbani.Siku ya siku jamaa karudi kutoka kazini akapaki rav 4 ndani pembeni ya Noah kwani wife naye alikua amerudi.Baada ya mud a jamaa kashtuka rav 4 haipo na Noah inamalizia kutolewa nje.Akapiga mayowe na kwa msaada wajirani wezi wakaichia Noah na kutokomea gizani lakini rav 4 ilikua ishaondoka.Nje hakuna hata mmasai mmoja na hajui atawapata wapi.
Funzo;
Wamasai hawaaminiki tena hapa mjini badala ya kuwa walinzi wao ndio wamekua vinara wa kusoma ramani ili uibiwe.chukua tahadhari zote pindi unapotaka kumwajiri(japokuwa si wote wenye tabia hizi).
 
Tunaiba zizi zima na.ndama itakuwa Rav4? ???!!!!
You are just getting to know the price of cheap labour!!!!!
Makampuni ya ulinzi hamyajui????
 
Hawa jamaa kwa kuchora ramani ndo kazi zao sikuhizi,ingawa sio wote,lakini haya matukio ya wao kuhusishwa na wizi nimeyasikia sana..hapa mjini wamejaa wanauza ugoro,shanga,wallet n.k!waganga wa asili wao,wasusi wao,yani wanaishi kijanja janja tu.
 
Wengine siku hizi wamekua wauza sigara na pipi za mint barabarani yahani wamekua wajanja wajanja sana na kuna wale wanaozunguka na vidumu vya lita 5 vimejaa maji ya rangi ya blown na huku kashika vimijiti ka vitano hivi wanazunguka kwenye mabar "yelooo hii saidia kumfanya mama yeyoo furahi kitandani....hii ongeza nguvu sana.."
Hawa jamaa kwa kuchora ramani ndo kazi zao sikuhizi,ingawa sio wote,lakini haya matukio ya wao kuhusishwa na wizi nimeyasikia sana..hapa mjini wamejaa wanauza ugoro,shanga,wallet n.k!waganga wa asili wao,wasusi wao,yani wanaishi kijanja janja tu.
 
Ni mpito tu kama ilivyokuwa

Wachagga wezi
Wahaya malaya na matapeli
Wapare mabahili
wananihii niangusege
Pwani mapenzi balaa

Just to name a few!!!!

Anyone with substantial evidences aweke sio kuweka cases ambazo ni horizontally related to almost all tribes
1. Wanajidai waganga;mabango yaliyojaa mjini kutangaza waganga ni ya wamasai au kujitia upofu na jua kali????
2. Wachoraji wakubwa wa ramani;bureau ngapi na banks zimekuwa robbed na kuhusishwa maasai!!??Bugglery ngapi zimehusisha wamasai in the past six months as compared to other tribes???
3. Eti wanaishi kiujanja; mbiu ni kujiajiri wao wamekuwa wasusi kichwa 30thou in hours ulinzi hardly 100thou per month hii nayo inahitaji intergral????!!!Shanga na walets zikiuzwa curios poa ila wakiuza wamasai ni ujanja ujanja!!!!!!!Gademu zis mentaliti

Nasubiri hoja hapa,tupo fully charged!!!
 
who told u kwamba hawajasoma? Achaha ulimbukeni now days watu hawa wameamka kielimu sana though kuna changamoto bt kila kabila lina yake. Na kuhusu kusuka nadhani hata vijana wa kabila lako wangejua kusuka wasingekua mashoga na wezi cz wangekua na njia halai ya kuwapatia kipato. ISHI KWA KUELEWA, USIISHI KWA KUKARIRI.
 
Ni kweli kabisa hawa jamaaa inabidi wajipange na hali ya sasa.Kutokana na ukosefu wa ajira baadhi ya wamasai wamejiingiza kwenye mtandao wa wizi wa magari.kuna jirani yangu alikua na gari mbili rav 4 kwa ajili yake na Noah kwa ajili ya wife.Akamua kuajiri wamasai wamlindie nyumba yake.wamasai walifanyakazi kwa uaminifu kwa kipindi cha miezi miwili huku wanasoma ramani ya pale Nyumbani.Siku ya siku jamaa karudi kutoka kazini akapaki rav 4 ndani pembeni ya Noah kwani wife naye alikua amerudi.Baada ya mud a jamaa kashtuka rav 4 haipo na Noah inamalizia kutolewa nje.Akapiga mayowe na kwa msaada wajirani wezi wakaichia Noah na kutokomea gizani lakini rav 4 ilikua ishaondoka.Nje hakuna hata mmasai mmoja na hajui atawapata wapi. Funzo; Wamasai hawaaminiki tena hapa mjini badala ya kuwa walinzi wao ndio wamekua vinara wa kusoma ramani ili uibiwe.chukua tahadhari zote pindi unapotaka kumwajiri(japokuwa si wote wenye tabia hizi).
Hilo la wizi lina ukweli,mimi pia wameshawahi kuniliza.
Kweli warudi shule au warejee mashambani wakachunge.
 
Wamasai ni kundi la watanzania wachache waliofanikiwa kutunza mila zao kwa kipindi kirefu sasa ingawa naona speed ya utandawazi inaelekea kufunika.
back to the topic, hapo miaka ya tisini kuja mpaka elfu mbili mwanzoni liliibuka kundi la wamasai kibao wakija mijini kutafuta kazi za ulinzi almarufu watchmen, kwa kweli waliaminika nakupewa kulinda nyumba nyingi tu sababu kubwa ikiwa eti hawa jamaa ni wakali na wanaweza kutoa kichapo vizuri.
Miaka ya hivi karibuni yameibuka makupuni mengi ya ulinzi binafsi almarufu security guard nakumaliza kabisa ka sio kutupia mbali ajira za wamasai.
Sasa ndugu zetu hawa wamegoma kurudi makwao kuchunga ng'ombe elimu ya form 4 yakuwawezesha kuajiriwa na haya makampuni ya ulizi hawana matokeo yake wamekua wakishinda kwenye mabar wakicheza kamali kwenye mchezo wa pool table wengine wanazunguka na vimijiti wakidai vinaongeza nguvu Mwenge stand wameamua kushindana na dada zetu kusuka yahani wemekua wajanja wajanja tu hawaeleweki.
ushauli wangu ndugu zangu wamasai rudi darasani mkasome

Hiyo jamii ina shule wewe. Hebu fikiria Babu wa Loliondo alivyokuwa creative hata akaweza kutengeneza pesa nyingi bila kutumia akili nyingi. Unaweza kuwa profesor lakini uwezo wako wa kufikiri ukawa mdogo. Chezea kikombe cha Babu wewe....
 
Pale Mwenge wapo wengi sana, na hapa Manyanya kinondoni wauza maji ya madumu na pipi, bangi, sigara na hata unga washajua kuuza wapo wengi sana
 
who told u kwamba hawajasoma? Achaha ulimbukeni now days watu hawa wameamka kielimu sana though kuna changamoto bt kila kabila lina yake. Na kuhusu kusuka nadhani hata vijana wa kabila lako wangejua kusuka wasingekua mashoga na wezi cz wangekua na njia halai ya kuwapatia kipato. ISHI KWA KUELEWA, USIISHI KWA KUKARIRI.

Bado kuna mengi sana ya kufanya umasaini esp kwenye elimu mkuu. Mf wilaya ya Ngorongoro yenye wakazi wengi wa kimasai. ina Sekondari schools kumi tu! Na worse enough watoto wa jamii ya kimasai kwenye hizo shule kumi wengi ni watoro hasa ikifika msimu wa kutahiri wanakimbilia nyumbani na hawarudi. Pia wazazi wao wana wa brainwash kua elimu haina faida ukilinganisha na ngishuu au ng,ombe...so still hawa watu wanahitaji msaada kwa kweli.
 
Back
Top Bottom