"Wamama wanyoa panki wa Sinza"

Ni style flani hivi ya unyoaji ipo sana mkoa wa Kagera hasa Ngara na Bukoba.
Rwanda,Burundi pia wanawake wananyoa sana mapanki ya aina iyo.

Aimaanishi kila mmama wa Sinza akinyoa hivyo basi ni"cord"wengine ni style tu kaamua anyoe.
Ooooh nimejua
 
Wanawake wengi asilimia kubwa wanaonyoa pank, kupaka Blich, kuchota tattoo waogope snaa ni Malaya mbwaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…