Wamakonde ni wazuri sana mdomoni

Wamakonde ni wazuri sana mdomoni

jozee jose

Senior Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
147
Reaction score
359
Nimezunguka baadhi ya mikoa Tanzania kama vile Dar, Iringa, Mbeya, Morogoro, Lindi ,Kilimanjaro na Pwani lakini kuna Nkoa unaitwa Ntwara daaaaa😃😃

Watu wa mkoa wa Ntwara ni wazuri sana mdomoni yaani kitaalamu (win-win agreement) hasa unapopanga naye jambo la tija au ustawi wenu...
😁😁 Sasa jichanganye matokeo yatakuwa hivi( lose-win agreement) yaani wanasahau makubaliano kabisaaaaaaaaaaaa tena hadi ana apa na kiapo cha dini yaani yeye anabaki kuwa mshindi wewe umepoteza..

Jambo jingine ni kwamba They never keep promise ( uwezo wa kutunza ahadi ni hafifu sana) yaani anaweza kukuambia nimepanda boda nafika dk 5 lakini atafika baada ya masaa 2 na ukimuuliza vipi ilikuwaje?
Atakujibu tu nilikuwa nakula 😇😇
 
Wamwera,wamakua,wamakonde wangindo mtu anaachwa na mumewe hapa anaolewa Mita Mia tu na jamaa mwingine, hawana wivu wala noma,jamaa anakuja kupiga stori na mtalaka wake Kwa kigezo cha kusalimia watoto halafu hakuna Noma wala nini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom