Wamakonde bana.

Wamakonde bana.

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
Siku moja dereva alikuwa kawapakia wamakonde kama 35 kwenye lori wakielekea kijiji fulani chenye shida kubwa ya usafiri.Mara lile lori likiwa safarini likasimamishwa na polisi.Polisi wakamuuliza,"aroo dereva umepakia nini huko nyuma?",dereva akajibu,"nimepakia magunia ya korosho". Hapo ndipo mmakonde mmoja aliponyanyuka kwa jazba huku aking'aka kwa hasira,"aaarggh,we dereva acha jarau,chichi chio magunia bana,chichi ni watu bana,we mucha chimama polichi wakuone,na wewe icha na machudi chimameni muonekane bana,nyinyi chio magunia,we hachani mbona hunielewi,chimameni tuchuke chini polichi watuone".Wale wamakonde wakashushwa wote chini,dereva akawahonga polisi sh.10000 halafu akarudi zake mtwara mjini na kitita cha zaidi ya laki mbili.Wale wamakonde wakaachwa wale jeuri yao,wakatembea kilometa zote 50 zilizobaki kwa mguu.
 
dah! jamaa wachamba chana, Lakini sio wamakonde wote inategemea ntu na ntu
 
Bora mi nchukuma chio mmakonde...Bhaaa..!
 
Teh teh,kweli kabisa wamakonde wanapenda ligi za kibwege sana!
 
Kwa ubichi wao ndio maana kipande cha barabara cha nyamwage hakimalinjikii.
 
Kwa ubichi wao ndio maana kipande cha barabara cha nyamwage hakimalinjikii.

Pale noma Nyamwage - Somanga, karafi na utalamu wao wa ujenzi wanakula za uso tu, Muhoro kuna tope dizaini ya kamasi mnvua ikinya.
 
naskia kuna mwenyekiti wao mmoja wa kijiji aliambiwa atoe salamu za mwenge akasimama akasema "CHIKAMOO MWENGE" afu akakaa
 
MWENGE" afu akakaa[/QUOTE]
Duuh hii karee!
 
Back
Top Bottom