Walter Reed Progam, Tanzania


Mkuu nipe details kidogo how the interview inakuwa organised wameniita, nijiandaaje? Jopo lao likoje?
 
Mkuu nipe details kidogo how the interview inakuwa organised wameniita, nijiandaaje? Jopo lao likoje?
Sema Mkuu umeitwa nafasi Gani, Mie niliitwa IT, Panel yao ilikuwa imesimama ( Wanaelewa mambo) Wanaangalia CV yako kwenye mambo ambayo umeshafanyia kazi, kama yana-match na ya kwao huwa wanataka ufafanuzi kwenye hilo eneo
 
We Nenda tuu; Ila hakikisha kila ulichokiweka kwenye CV yako unakifahamu vizuri; usiweke vitu ili kuonesha CV iko nondo kumbe ku-explore huwezi achana kabisa na mbwembwe zisizo na msingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…