Shida yako unashindwa kutofautisha upentekoste na cults au wahuni. Unalazimisha wahuni au Cults wawe wapentekoste.Ukristò ni dini ya watu wasomi, wagunduzi, wana sayansi, matabibu, wana anga za juu nk.
Sasa siku za karibuni limeibuka kundi la watu wasiofikiria, wasio hoji, wenye ufinyu wa fikra, wenye kupelekeshwa kibwege kabisa na wahuni wanaojiita mitume na manabii.
Nabii akisema leo kamnyime mumeo unyumba, basi nyumbani siku hiyo mtalala mzungu wa nne.
Nabii akisema kalete mbegu, basi humo ndani hakukaliki lazima mbegu nono ipelekwe kwa nabii.
Walokole wanakonda manabii wananenepa. Kila siku ufukara unawaingia kwa kasi. Wanaangamizwa kwa kukosa maarifa.
Walokole mnatakiwa mbatizwe kwa ubatizo wa moto wa gesi huenda ndipo akili zenu zitafunguka na kuijua kweli ambayo ni neno la Mungu.
Unaelewa maana ya Cult?. Cult inakuwa na kiongozi mmoja na anasikilizwa yeye pekee yake. Tatizo mnalazimisha Cult za kina Mackenzie ziwe ndio upentekoste.Ulokole ni cult sio dini na imetokana na unrealistic belifs za dini ya Ukristo.
Wewe ndio unatakiwa uchapwe fimbo kwa kulzimisha uongo kuwa ukweli. Ujinga wa wachache usikutoe akili ya kutukana kundi zima.Walokole wanatakiwa wachapwe mboko
Na wale wakule India nao wanazungumziwajwe? (Wahindu, wabudha, nk)Allah katika qur an anasema....nanukuu
"إِنَّ الدِّينَ عِندَ اللَّهِ الْإِسْلَامُ ۗ وَمَا اخْتَلَفَ الَّذِينَ أُوتُوا الْكِتَابَ إِلَّا مِن بَعْدِ مَا جَاءَهُمُ الْعِلْمُ بَغْيًا بَيْنَهُمْ ۗ وَمَن يَكْفُرْ بِآيَاتِ اللَّهِ فَإِنَّ اللَّهَ سَرِيعُ الْحِسَابِ
[ AL I'MRAN - 19 ]
Bila ya shaka Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu. Na walio pewa Kitabu(wakiristo na wayahudi) hawakukhitalifiana ila baada ya kuwajia ujuzi, kwa sababu ya uhasidi ulio kuwa baina yao. Na anaye zikataa Ishara za Mwenyezi Mungu basi hakika Mwenyezi Mungu ni Mwepesi wa kuhisabu...
Akili kichwani mwako
Punguza uongo wewe. Makanisa yote uliyatemebelea lini wakati wewe muislamu?. Acha utapeli.Makanisa yote hayafuati maandiko bali yanafuata mawazo yawachungaji na wazee wa kanisa tu
Huyo ni msanii anatafuta pesa.Mlokole [emoji116]View attachment 2609667
Una prove yoyote ileUlokole ni cult sio dini na imetokana na unrealistic belifs za dini ya Ukristo.
That's we call it beliefsSiku hizi ndo wanaongoza kuvunja na kuchoma moto minara ya 5G wakiamini ndo inaleta Covid 19
RIP EnglishThat's we call it beliefs
RIP you too,kimekosewa wap hapo sasa???hahaha aya bwanaRIP English