Nimekua ktk mahusiano kadhaa na mabinti wakilokole,tulipokua tunaanzana walinilazimisha kuokoka,nlifanya ivo ili kuongeza maombi,tatizo linakuja pale unapobaini mwenzi wako n mwongo na mnafiki.Hawa watu cjui ulokole wao uko wapi..mana visa nlofanyiwa cwez eleza hapa..majemedar wenzangu mnatumia mbinu zipi kushinda vita? Naruhusu mapofuu ya omo pia!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nisamehe bure! Ila wote 5 nlodate nao ni wanafiki wakutupwa! Cjui ww!Muulize huyo anapokwama,usitujumlishe walokole wote km waongo
Kuokoka sio guarantee kwamba hutatenda dhambi ama kujaribiwa na shetani
Halafu pia hiyo Ni tabia ya mtu binafsi..kwanini ugroup walokole wote km wanafiki kwa sababu tu ya huyo mmoja?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata cjui mkuu! Ngoja waje!!!Kwa nini walokole wasengenyaji Sana???
Mmoja alikua mwanakwaya!mwengine alikua kiongoz,cjui kacheo gn tuseme wote wa mdomoni tu!!Pole
Ila jua tabia ya mtu Ni Kama ngozi
Ukiona hivyo ujue Ni wale wanaokiri mdomoni Kama wanampenda Mungu lakini mioyoni mwao hakuna Mungu....
Hata kwenye maandiko ipo
Pia unapotafuta mtu usichukulie ulokole kma kigezo cha kuwa na mtu...weka ulokole wake pembeni muangalie yeye kwanza km anafaa
Sent using Jamii Forums mobile app
ungeelezea ivo visa tungejua nini asa ulichofanyiwa,Nimekua ktk mahusiano kadhaa na mabinti wakilokole,tulipokua tunaanzana walinilazimisha kuokoka,nlifanya ivo ili kuongeza maombi,tatizo linakuja pale unapobaini mwenzi wako n mwongo na mnafiki.Hawa watu cjui ulokole wao uko wapi..mana visa nlofanyiwa cwez eleza hapa..majemedar wenzangu mnatumia mbinu zipi kushinda vita? Naruhusu mapofuu ya omo pia!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa mwanakwaya ama mzee wa kanisa sio tijaMmoja alikua mwanakwaya!mwengine alikua kiongoz,cjui kacheo gn tuseme wote wa mdomoni tu!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nipo busy job ntaviwasilisha badaeTaarifa yako inatosha kuitwa chai. Kwann ucngetaja hvyo visa ili tupate cha kkshaur.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh unasema na wewe uliokoka...uka-date na walokole watano!!!!Nisamehe bure! Ila wote 5 nlodate nao ni wanafiki wakutupwa! Cjui ww!
Sent using Jamii Forums mobile app