Wallet za Kiume

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
33,599
Reaction score
97,113
Wallet za kiume za PU-Leather soft zinauzwa. Zina card slots, zipped notes pocket.

Zinauzwa elfu 15 tu kila moja. Wallet ni mpya sealed.

Nipo Ubungo DSM 0758095750
 
Vyuma vimekaza hizo waleti labda tuzigeuze Album za kuwekea picha za Passport size na vikaratasi vya kodi..teh! teh!
 
Dah ... Hapa na buku 16 tu...halafu ninunue hiyo wallet [emoji13] [emoji13]
 
Elfu kumi na tano??? Duh wakati raia per capita income haizidi laki
 
Ukiidondosha tuu!! unaanza upywa kwa kila kitu ,hizo kadi mpaka upate nyingine kwa utaratibu wa sasa cha moto utakiona
 
we jamaa nilikwambia nahitaji moja mpk leo kimya.. Ulisema utanitafuta lakin sijakuona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…