Walkman Memory!!!

enzi hizo bwana. Mablaza kaka kipindi kile walitunyanyasa sana. Umenikumbusha mbali mkuu Salamander
 
Last edited by a moderator:
Daah! nilikuwa nayo moja nilipewa na mjomba wangu (r.i.p) aliporudi kutoka ughaibuni. Nilitesa nayo sana. Aliniachia na tape Tatu (Bado ninazo) BLACK BOX, MOB HOUSE na MOB MASTERS ilikuwa ni mwendo wa kuruka madebe tu.
 
umenikumbusha mbali sana MOB HOUSE (party people)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…