Kama hii ni kweli basi kazi ipo. Nilishaweka hapa habari kuhusu Mtikila kuwashambulia CHADEMA. Na nikauliza je Mtikila kapewa bulungutu na RA ili awashambulie CHADEMA? Maana miaka yote target ya mashambulizi ya Mtikila ilikuwa ni CCM ghafla tu imebadilika na kuwa CHADEMA. Na ukitilia maanani RA alianika hadharani kwamba Mtikila alienda kuomba michuzi kwa RA, basi kuna uwezekano mkubwa kwamba Mtikila kishatiliwa kitu kikubwa na RA na CCM ili awashambulie CHADEMA. Kweli siasa ni mchezo mchafu sana.

wote ni kingmakersSina hakika kama Raila hamjui RA... nadhani hata RA amekwama baada ya leo Mwanahalisi kuandika habari nzito kumhusu. Bahati mbaya Mwanahalisi halimo katika mtandao, lakini kwa wenye kuweza kutusaidia nyumbani wange scan na kuiweka humu.
FairPlayer,
Hiyo habari ya ufisadi wa Rostam Azizi iko hapa - fuata (bofya) hii heading hapa chini:
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/18484-epa-rostam-atajwa-tena-kama-kagoda.html
Pole sana zoba. Kwa taarifa yako upinzani wa kweli nchi hii hautatoka ccm. Mi na wenzangu wengi tu tunaomaliza vyuo sasa hatujawahi kuwa ccm hata kidogo na sasa tuko chadema. Na nakuhakikishia mkakati wetu ni kuipoteza kabisa hiyo ccm yako kwani hata wanachama mlionao wanaomaliza vyuo sasa ni wajinga wajinga tu kama wewe, hivyo tuna hakika hawawezi kuongoza nchi hawa. Nyerere(namheshimu) alikuwa binadam kabisa mwenye pum.bu mbili kama wewe hivyo maneno yake hayakuwa maandiko matakatifu. Upinzani wa kweli nchi hii hata sasa unatoka chadema, hilo usijifanye haulioni. Hao mamluki wanaoamia ccm wala siyo kitu cha ajabu ndo demokrasia na isitoshe wanaotoka ccm na kuja chadema ni wengi zaidi kama edwin mtei, wilbroad slaa, alkado ntagazwa nk.Kithuku, Hapa ndipo ninapokumbuka maneno ya hayati Mwl. Nyerere kuwa upinzani wa kweli kwa CCM utatoka ndani ya CCM yenyewe. Kwa hakika level ya upinzani Tz kwa sasa ni sawa sawa na hakuna wengi wa wanaojiita wapinzani ni watu waliozidiwa na tamaa au njaa kiasi kwamba wanakuwa wepesi kurubuniwa na CCM. Tumeshuhudia viongozi kadhaa waliokuwa katika vyama vya upinzani wakihama vyama vyao na kurudi CCM kwani wengi wao waliotokea huko. Ipo mifano kama akina Masumbuko Lamwai, Dr. Kaborouna wengi wenye nyadhifa na wanachama wa kawaida. Pia suala la vyama vya upinzani kuungana bado ni kitendawili kwani hao viongozi wana ubinafsi na tamaa za kutaka kuingia ikulu kitu ambacho hata Nyerere alikishangaa sana. Na aliwahi kusema kuwa hata kama wananchi wameamua kusukuma gari la kiongozi wa upinzani kwa nderemo na vigerere wawaache tu kwani alijua kuwa hawatafika mbali na sasa tunashuhudia upinzani ukielelea kufa kifo cha asilia. Kwa hiyo hata huyo Odinga anachowashauri hao ndugu ni wastage of time and energy tu lakini nadiriki kusema upinzani Tanzani "MUFIRISI".....