Kasiano Muyenzi JF-Expert Member Joined Feb 3, 2018 Posts 13,972 Reaction score 22,933 Dec 23, 2022 #1 Wanasayansi wanasema kwamba wanandoa wanapoishi pamoja kwa miaka mingi wanaanza kufanana. Ona huo uthibitisho hapo chini kwa Mr & Mrs Kanda bongoman !!
Wanasayansi wanasema kwamba wanandoa wanapoishi pamoja kwa miaka mingi wanaanza kufanana. Ona huo uthibitisho hapo chini kwa Mr & Mrs Kanda bongoman !!
tamsana Platinum Member Joined Jan 13, 2012 Posts 3,842 Reaction score 8,266 Dec 23, 2022 #2 Huyo ndio wewe na mke wako mkuu.
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,498 Reaction score 27,813 Dec 23, 2022 #3 Mbona kama wote wapoloooo wapoloooooo
Kasiano Muyenzi JF-Expert Member Joined Feb 3, 2018 Posts 13,972 Reaction score 22,933 Dec 23, 2022 Thread starter #4 tamsana said: Huyo ndio wewe na mke wako mkuu. Click to expand... Hapana sio mie
Kasiano Muyenzi JF-Expert Member Joined Feb 3, 2018 Posts 13,972 Reaction score 22,933 Dec 23, 2022 Thread starter #5 fundi bishoo said: Mbona kama wote wapoloooo wapoloooooo Click to expand... Wapolooo ndio nini?
Masagala JF-Expert Member Joined Jan 28, 2017 Posts 4,695 Reaction score 9,478 Dec 23, 2022 #6 Hamna kitu kama hicho.
Tajiri mpole JF-Expert Member Joined Apr 15, 2018 Posts 3,126 Reaction score 6,104 Dec 23, 2022 #7 Kambi ya Fisi said: Wanasayansi wanasema kwamba wanandoa wanapoishi pamoja kwa miaka mingi wanaanza kufanana. Ona huo uthibitisho hapo chini kwa Mr & Mrs Kanda bongoman !!View attachment 2455312 Click to expand... Kufanana huko wanakosema mimi nadhani haijamaabisha Mishepu na Sura. Nadhani walimaanisha Tabia,Yaaani kama Mume mchoyo Mke nawewe unakuwa mchoyo na mengineyo.
Kambi ya Fisi said: Wanasayansi wanasema kwamba wanandoa wanapoishi pamoja kwa miaka mingi wanaanza kufanana. Ona huo uthibitisho hapo chini kwa Mr & Mrs Kanda bongoman !!View attachment 2455312 Click to expand... Kufanana huko wanakosema mimi nadhani haijamaabisha Mishepu na Sura. Nadhani walimaanisha Tabia,Yaaani kama Mume mchoyo Mke nawewe unakuwa mchoyo na mengineyo.