Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,277
- 8,850
Niwakumbushe enyi watanzania wasaulifu,Mnakumbuka mbwembwe za rais kuhusu tanzania kukopa?
Namnukuu,"Alisema"Tanzania ni nchi tajiri sana.Haiwezekani iwe ina kopa kopa nje.Sisi ndio tunatakiwa kuwakopesha wao."Mwisho wa nukuu"
Hata mwaka na nusu bado,Tushapiga magoti kwa morocco,Uturuki na china.
Jamani akiba ya maneno kwa karne hii ni muhimu sana.!!
Polepole alikimbia tv zote kuaminisha watu tanzania inaweza kujitegemea.Njoo hapa useme.Mmejitegemea magapi?
Fedha za MCC mkanyimwa kwa ubakaji wa demokrasia.Tena fedha zisizo na mashariti. Leo mnapiga magoti hadi kwa Morocco?