Waliozoea kusema uongo hawawezi kujifunza kusema ukweli

Jelavic

Senior Member
Dec 28, 2016
183
380
baada ya mh.zitto kuishauri serikali itangaze balaa la njaa nchini ili iweze kuandaa bajeti ya dharura kwa mujibu wa sheria siku moja baadae Mh. Mwenyedhamana kasema chakula kipo chakutosha na katika mwaka ambao wananchi walipata chakula kingi kihistoria ni mwaka jana kwaiyo bado vyakula wanavyo WAKATI HUO HUO yule mwakilishi wa MUHESHIMIWA SANA wa mkoa wa kagera alipo fanya ziara kuangalia hali ya kilimo vijijini kakutana na balaa la njaa ambalo wanakijji wanadai halijawahi kutokea... WALIO ZOEA KUSEMA UONGO HAWAWEZI KUJIFUNZA KUSEMA UKWELI

His majesty alipo kuwa katika kampen alisema haiwezekan mwanafunzi atoke kagera achaguliwe chuo daresalam na serikali ndio ilio mchagua halafu ISIMPE MKOPO...Leo wanafunzi wamechaguliwa na hawajapewa mkopo ALIOZOEA KUSEMA UONGO HAWEZI KUJIFUNZA KUSEMA UKWELI

Mheshimiwa dokta alihairisha sherehe za uhuru mwakajana akasema nikubana matumizi bora zipelekwe kwenye miradi ya maendeleo mwaka huu katika nchi hii hii na sherehe ile ile kwa mazingira yale yale na kwa cheo kile kile mh.dokta kaamuru shereh ifanywe ALIOEZOEA KUSEMA UONGO HAWEZI KUJIFUNZA KUSEMA UKWELI
 
Wanasiasa wanaishi katika siasa kwa uongo. Unapokuwa kiongozi wa Taifa lenye idadi kubwa ya WAJINGA, uongo hufanya kazi vizuri sana.

KADA
 
Back
Top Bottom