Mahakama ipo vyombo vya ulinzi vipo mbona hawajamshitaki?Chama Chenye Waziri Mkuu Aliyefukuzwa kazi kwa Wizi hawatafungua Video hizi
Hyo mikataba si mulituletea ninyi ccm sasa hiv mnajifanya mumegundua kuwa ni kashfaaa...ngoja nikutafutie zile clip kipindi munatuingiza kwenye hyo mikataba ili uone jins mlivyokuwa mnatupa maneno mazur na matumaini meengii....sijui mnazani ss watz ni mazezeta au hatuna kumbukumbu....Chama Chenye Waziri Mkuu Aliyefukuzwa kazi kwa Wizi hawatafungua Video hizi
Wameishiwa na pumziCcm hakuna jipya mikataba ilisainiwa na chama chenu na hizo janja janja mmezifanya wenyewe sasa sisi tuwasaidie nini mmechoka mkapumzike