na hii ndo uthibitisho wa demokrasia na uhuru wa kutofautiana mawazo?
sasa tofauti yake na wacommunist wa China iko wapi?
Nidhamu bila uhuru ni utumwa, lakini uhuru bila nidhamu ni uwendawazimu!
The Boss, take your pick!
Wanatoka mkoa gani?Asante kaka kwa kuweka kumbukumbu vizuri, wote waliofukzwa ni waislamu au wakristu??? udini CDM hakuna ni kazi tu dini yako ni yako na familia yako. Uaminifu hauna dini na Usaliti pia hauna dini wa ukabila, CDM CHAPA KAZI njia hiyo nyeupeee
Twambie hao wanatokea mikoa gani kwa asilimia kubwa.* Dk Aman Walid Kaburu/ alifukuzwa
* Chama wangwe/ alisimamishwa uongozi mkamu/mwenyekiti Taifa
*Estomih Mallah, diwani (Arusha) Alifukuzwa
*John Bayo, diwani (Arusha) alifukuzwa
*Reuben Ngowi, diwani (Arusha) alifukuzwa
*charles Mpanda, diwani (Arusha) alifukuzwa
*Rehema Mohammed, diwani (Arusha) alifukuzwa
*Habiba Ally diwani (Mara) alifukuzwa
*Miriam Daudi, diwani (Mara) alifukuzwa
*Amani Mwipaja mwanasheria morogoro alifukuzwa
*David Kafulila kiongozi makao makuu, alifukuzwa
*Josephu kasamba, mwenyekiti BAVICHA Mbeya alifukuzwa
*Cosmas Sanga katibu bavicha mbeya alifukuzwa
*Allam Mwapamba, Baba mzazi wa Mtela mwapamba, alifukuzwa
*Mtela Mwapamba kiongozi BAVICHA, ALIFUKUZWA
*Julliana Shonza kiongozi Bavicha alifukuzwa
*Zitto Kabwe Zuber amesimanishwa
*Dk Kitila Mkumbo amesimamishwa,
*Samsoni Mwigamba, amesimamishwa.
HAWA WOOTE NA WENGINEO WALIFANYA MAKOSA NA KUFUKUZWA AMA KUSIMAMISHWA, SASA HAO WANAOLETA MAMBO YA UDINI NA UKABILA WATUAMBIE, JE HAWA WALIOFUKUZWA AMA KUSIMAMISWA NI WA DINI ZIPI! Je kuna uonevu, MIMI naona kuna uwajibikaji, na huu ni mfano mzuri kwa chama kinachotaka kuingia madarakani, kila kila anaefanya kosa ATAADHIBIWA BILA KUJALI YEYE NI NANI KWENYE CHAMA, NAWAPONGEZA SANA CHADEMA KWA UWAJIBIKAJI WENU, NAAMINI MTAKAPOONGOZA DOLA MTALETA UWAJIBIKAJI WENYE TIJA KATIKA TAIFA
MUNGU IBARIKI CHADEMA.
ndugu yangu achana na hao watu hawana hoja
chadema must stick with this necessary processs for the sake of party to stay alive
otherwise cdm itakuwa haina tofauti na CCM chama kilichojaa na kukumbatia majambazi, wabakaji na manyangau
wa nyara za tembo. Ni bora to sacrifice chama leo ili tuokoe nchi baadaye badala ya ccm walipokubali kuokoa chama na kuiacha nchi iangamie in the name of solidarity. never never never never never look back. maamuzi ya kamati ni mazuri let's stick to the pricipal
Siku hizi hina sera wala hujuwi kujibu hoja zaidi ya mipasho tuu kama baba yako kikwete.Ukiangalia wote waliofukuzwa ni wale waliokuwa na akili pana hata waliosimamishwa wote wanawazidi viongozi wa makao makuu upea wanaona wawafukuze ili waongoze milele.
Twambie hao wanatokea mikoa gani kwa asilimia kubwa.