Gangongine
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 3,854
- 1,776
Msaliti ni Msaliti. Bila kujali yupo wapi lazima ashughulikiwe. Wote walioshabikia UKAWA iwe kwenye Chama chetu cha CCM au Serikalini lazima watimuliwe. Walio Serikalini wafuate vyeo walivyoahidiwa na UKAWA. Walio kwenye Chama chetu nao waende wakachukue Kadi huko UKAWA na kutuachia Chama chetu. Bora tubaki wachache kuliko kuwa na nyumbu ndani ya Chama chetu. Mwenye Masikio na Asikie!!!