Waliotesa Machinga Mwanza kukiona

Hahahahaha....! Anatafuta kiki tu huyo, kwani kina mama walipokuwa wanalalamika walisema mbunge hawamuoni kawatelekeza.
 
Wabongo kwa sifa huwa vimejificha mpaka raid zone ndo utasikia mikwara lakini angeona bila tamko la raising kwamba machinga wanaonewa angenyamaza kimya msitafute kiki.Inatakiwa mtutetee wananchi kabla ya majanga ili kuzuia hasara jamani ka!!!!
 
Huyu kabla ya kuwa mbunge alikywa mayor wa nyamagana. Alikuwa anawafukuza machinga na mama lishe vibaya mpaka matoroli ya watu kavunja sana
 
Atakuwa amekosa nafasi za uteuzi ndani ya chama huyu
 
-Wamachinga wameamka.
-Mama ntilie akiwezeshwa anaweza
-Wauzaji wa mboga mboga na wajasiamali wadogo utajiri nje nje awamu hii
 
Nilimwona ITV mishipa ikimpanda sana utadhan kashinda kesi tiyari
Huko mwanza mmelamba garasa kwa MP huyo....

# We want Ar Max Free#
 
Nilimwona ITV mishipa ikimpanda sana utadhan kashinda kesi tiyari
Huko mwanza mmelamba garasa kwa MP huyo....

# We want Ar Max Free#
Wewe ni wa wapi mkuu kwahiyo watu wa mwanza kumuchagua hawakua na akili wewe ndo leo unawaona wamelamba garasa mbunge wako ni yupi wewe jimbo gan tumushindanishe na mabula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…