Waliotamba world cup 2002

Waliotamba world cup 2002

Nakapanya

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2012
Posts
2,096
Reaction score
709
Mashindano ya kombe la dunia yaliyoandaliwa kwa pamoja kati ya Japan na Korea kusini yalikuwa ni mashindano yenye msisimko mkubwa sana,Senegal walitupa matumaini makubwa sana waafrika lakini Wasweeden wakatutoa.

Katika mashindano hayo ambayo mwisho wa siku Brasil waliibuka washindi kulikuwa na baadhi ya wachezaji waliong'ara kwelikweli.Baadhi ya hao wachezaji ni kama ifuatavyo:-

1.Ronaldo De Lima
2.Fadiga
3.Klose
4.Rustu
5.Ronaldinho
6.Rivaldo
7.Diouf
8.Lucio
9.Larson

hao ni baadhi ya wachezaji walionivutia katika mashindano yale,waweza ongeza wale waliokuvutia wewe.karibuni
 
Umit Davala, Henri Camarra, Michael Ballack na Fransisco Totti
 
yalikuwa mashindano ya aina yake ikawa mwanzo wa ushabiki kwangu namkumbuka Michael Owen,
David Beckham,
Gerrard,
keon,
diouf,
papa diop,
fabian bartez,
ronaldo,
cafu,
khan,
campbell,na wengine wengi
Nakumbuka baada ya fainali zile waafrika wengi walisajiliwa Ulaya hapo ndipo Liverpool ikawanasa Diouf na salif diao hapo ndipo nikaanza kushabikia Liverpool mpaka leo
 
Emil Mpenza na Mbo Mpenza kutoka Ubelgiji walicheza kwenye uwanja wa Kumamoto huko Japan
 
Mashindano ya kombe la dunia yaliyoandaliwa kwa pamoja kati ya Japan na Korea kusini yalikuwa ni mashindano yenye msisimko mkubwa sana,Senegal walitupa matumaini makubwa sana waafrika lakini Wasweeden wakatutoa.

Katika mashindano hayo ambayo mwisho wa siku Brasil waliibuka washindi kulikuwa na baadhi ya wachezaji waliong'ara kwelikweli.Baadhi ya hao wachezaji ni kama ifuatavyo:-

1.Ronaldo De Lima
2.Fadiga
3.Klose
4.Podolsk
5.Rustu
6.Ronaldinho
7.Rivaldo
8.Diouf
9.Lucio
10.Larson

hao ni baadhi ya wachezaji walionivutia katika mashindano yale,waweza ongeza wale waliokuvutia wewe.karibuni
Mkuu nakumbuka tulitolewa na uturuki
 
Mashindano ya kombe la dunia yaliyoandaliwa kwa pamoja kati ya Japan na Korea kusini yalikuwa ni mashindano yenye msisimko mkubwa sana,Senegal walitupa matumaini makubwa sana waafrika lakini Wasweeden wakatutoa. Katika mashindano hayo ambayo mwisho wa siku Brasil waliibuka washindi kulikuwa na baadhi ya wachezaji waliong'ara kwelikweli.Baadhi ya hao wachezaji ni kama ifuatavyo:- 1.Ronaldo De Lima 2.Fadiga 3.Klose 4.Podolsk 5.Rustu 6.Ronaldinho 7.Rivaldo 8.Diouf 9.Lucio 10.Larson hao ni baadhi ya wachezaji walionivutia katika mashindano yale,waweza ongeza wale waliokuvutia wewe.karibuni
mpira umeanza kuangalia lini?mwak 2002 podolsk hakucheza world cup,kwanza alikua bado mdogo mno,acha uongo
 
Mkuu nakumbuka tulitolewa na uturuki

Upo sahihi kabisa Senegal waliondolewa na Uturuki tena goli lilifungwa muda wanyongeza na lilikuwa goli la kifo.
Alifunga jamaa mmoja anaitwa ALHAN MANSIZ
 
hassan sas,gilberto silva na yule mchezaji wa korea aliyefukuzwa klabu yake ya italia roma baada ya kuwafunga italia
 
Cha Du Rii wa Korea ya Kusini beki mbili alikuwa ananyoa kipara.
Alhan Mansiz
Kleberson
Rivaldo
Gaucho
De Lima
Fadiga
Diof
Ferdinad Kolly
Silva (GK) wa Senegal
Agahoa
Okocha
Vieri.........
 
Mkuu, wasweeden tuliwakalisha chini ndipo tukaingia robo fainal tukatolewa na Uturuki. Hapa namkumbuka sana Frednand Colly, Luka Tonny, Diof na Henry kamala.
 
kleberson, Lucio, Hierro, Mandieta, Baraja, Toldo, Nesta, Totti, Del Piero, Ferdinand Colly, Geremy Njitap, Patrick Mboma, Rigbert Song,
 
Back
Top Bottom