Bwana Miken,nadhani sasa utafute kazi ya kufanya manake kama ni league na mimi huiwezi hata robo.Umekuwa na vita visivyojidhihirisha wazi na nafahamu lengo lako ni nini lakini katika hili wala usijaribu hata siku moja kutumia namba za watu ambazo umekuwa ukitumia tangia siku nyingi sana.Mimi ndiye MMASSY JEROME unayenitafuta kwa gharama yoyote.Namba uliyoweka hapo juu ni upuuzi tu unakuendesha manake nimeipiga nimezungumza na mweye nayo wala hausiki kabisa(labda kwa mlango wa nyuma)Kimsingi nipo Arusha na ninaishi Ngaramtoni kijiji cha Ekenywa na nakaa mtaa wa Forest karibu na kilima punda,mchana huwa nakuwa mjini makao mapya katika kituo cha Compassion Makao mapya,ukinikosa hapo utanikuta eneo la Jogoo House pale mjini duka la kwanza kama unaelekea soko kuu.Wasifu wangu ni mrefu kiasi,mweusi na ninavaa miwani na mara nyingi saa ya Gold mkono wa kulia.Huwa niko serious lakini pia napenda kucheka cheka pale ninapozungumza na mtu.Ni kweli nimekuwa mbunge pale UDOM,nImekuwa Spika na pia nimeongoza kamati/tume mbili tofauti,moja ilikuwa na jukumu la kuandaa kongamano la katiba ambalo lilifanyika kwa kumkaribisha Prof.Issa Shivji,na la tume ya Pili ilikuwa ya kufuatilia na kuchunguza uhalali wa kufukuzwa wanfaunzi 22 hapo mwaka 2010,kwa waliokutuma kwa nia zao waaambie nilipeleka ushahidi huo mahaka kuu kanda ya Dodoma kama ushahidi wa kutokufuata sheria na utaratibu wakati wa kukamata na kufukuza washukiwa wa mgomo na kesi yao bado inaendelea.Kwa sasa bado sijaacha siasa,Mimi ni Mwenyekiti wa CHADEMA akata ya Okaoni kule Kibosho Moshi Vijijini na mjumbe wa Mkutano wa wilaya wa chama.Ukinikosa mara nyingi wikiend nakuwa nimeenda Kibosho kijiji cha Mkomilo au Kwasadala kijij cha mbatakero.Kama unataka kunitafuta zaidi basi nipigie kwenye namba hizi 0767141643/0714141643/0786161643 ama ukipenda zaidi niandikie kwenye
mmassyfm@yahoo.com.Ikishindikana nitumie barua kwenye personal adress yangu P.O BOX 16579 ARUSHA TANZANIA.Nafikiri sasa una taarifa za ziada kuhusu mimi na wala huna haja ya kuwasumbua tena wananchi kwenye mitandao.