Waliosoma Mazengo Technical and High School

SaaMbovu

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2013
Posts
6,028
Reaction score
5,355
Habari zenu wadau. Napenda tu tufahamiane japo kwa ID zetu hizo na kukumbushana ya nyuma kwakuwa ndio sisi tuliobaki na hakuna tena kizazi cha sasa cha Mazengo kwakua ni St. John University.
Binafsi nilimaliza miaka ya 2000 kipindi hicho head master Msasa baadae akahama akaenda Nsumba na nafasi yake ikachukuliwa na Mgohamwende.
Nakumbuka zile vujo ambazo zilitikisa Dodoma wakati wa Mashindano ya UMISETA Jamhuri Stadium,

Je unawakumbuka walimu hawa,.
Mshumbuzi, Kameme, Shabani, Mama Mwenda, Chakoo (RIP), Kabota, KIFUTU (aka), Katunzi (RIP), Ishengoma aka Askofu, Mama Kasira, Mama Ndeitabura, Chawala, Milali, Muta, Lwamo, Malima (wote wawili), Mwamunyi, Tete, Mwamfupe aka Unyamaunyama, Tembo, Sichone (RIP), Tandika, KIPATICLE (aka), Mshani, Elia aka TRIANGLE

Ongeza wengine ambao sijawataja na matendo yao ambayo hutayasahau.
Je Mazengo imekufanya ujivunie kusoma pale?
 
Mdushi,magomola,mwampome,magere,ngwenuke aka kuntu,e bana kumbe katunzi ni late??i ddnt know
 
Mdushi mke wake ndio alikuwa anapika maandazi makubwa kuliko wake za walimu wote pale.

Magere siku moja pale alikuwa anachimba mkwara kwa walokole ambao wanasali kwa sauti kubwa mpaka wanawasumbua watu ambao wapo kwenye prep.

Katunzi kweli ni late.
Pia kuna mtu alikuwa anaitwa Mavere nae ni late. RIP
 
Makunja alikuwa anafundisha pure maths A LEVEL.

Huyu jamaa Makunja alikuwa na uwezo wa kipekee kukariri wanafunzi shule yote pamoja na majina yao. Kuna siku nilipanda nae daladala pale Jamatini mpaka Kikuyu halafu sikuwa na sare za shule na wakati yeye ndio alikuwa analisimamia sana hilo nikajua naenda kuchanja kuni gudulia hata 10. Lakini aliuchuna bila kusema chochote karibu miezi mitatu mpaka siku alipopata U Second Master ndio akanisamehe.
Ila kukaa kwake kimya ilikuwa ni adhabu tosha kwangu maana nikimuona au tukiwa parade mie ni full wasiwasi.
 
Mama mwenda a.k.a mama wa kemia. Alikuwa ananipenda sana.

Usisahau mume wake mwl mwenda alikuwa either academic or displine master

Mwl Ruben pia akifundisha engineering science.
 
Mtoa mada edit heading yako. Weka MAZENGO COMPLEX. ipe hadhi yake bana
 
Habari zenu wadau. Napenda tu tufahamiane japo kwa ID zetu hizo na kukumbushana ya nyuma kwakuwa ndio sisi tuliobaki na hakuna tena kizazi cha sasa cha Mazengo kwakua ni St. John University.
Binafsi nilimaliza miaka ya 2000 kipindi hicho head master Msasa baadae akahama akaenda Nsumba na nafasi yake ikachukuliwa na Mgohamwende.
Nakumbuka zile vujo ambazo zilitikisa Dodoma wakati wa Mashindano ya UMISETA Jamhuri Stadium,

Je unawakumbuka walimu hawa,.
Mshumbuzi, Kameme, Shabani, Mama Mwenda, Chakoo (RIP), Kabota, KIFUTU (aka), Katunzi (RIP), Ishengoma aka Askofu, Mama Kasira, Mama Ndeitabura, Chawala, Milali, Muta, Lwamo, Malima (wote wawili), Mwamunyi, Tete, Mwamfupe aka Unyamaunyama, Tembo, Sichone (RIP), Tandika, KIPATICLE (aka), Mshani, Elia aka TRIANGLE

Ongeza wengine ambao sijawataja na matendo yao ambayo hutayasahau.
Je Mazengo imekufanya ujivunie kusoma pale?

Majina ya washkaji waliosma mazengo enzi hizo yataje nayo.
 
kipindi unyamaunyama akiwa zamu.mtakoma alfajiri.complex oyee!
 
Mama mwenda a.k.a mama wa kemia. Alikuwa ananipenda sana.

Usisahau mume wake mwl mwenda alikuwa either academic or displine master

Mwl Ruben pia akifundisha engineering science.
Wewe lazima utakuwa umemaliza mwaka 2000 coz hiyo intake ya 1997 ndio ilifundishwa na hao walimu katika masomo husika.
Halafu kama nakukumbuka vile maana hiyo ID yako imekaa kama watu wa irangi.
 
Habari zenu wadau. Napenda tu tufahamiane japo kwa ID zetu hizo na kukumbushana ya nyuma kwakuwa ndio sisi tuliobaki na hakuna tena kizazi cha sasa cha Mazengo kwakua ni St. John University.
Binafsi nilimaliza miaka ya 2000 kipindi hicho head master Msasa baadae akahama akaenda Nsumba na nafasi yake ikachukuliwa na Mgohamwende.
Nakumbuka zile vujo ambazo zilitikisa Dodoma wakati wa Mashindano ya UMISETA Jamhuri Stadium,

Je unawakumbuka walimu hawa,.
Mshumbuzi, Kameme, Shabani, Mama Mwenda, Chakoo (RIP), Kabota, KIFUTU (aka), Katunzi (RIP), Ishengoma aka Askofu, Mama Kasira, Mama Ndeitabura, Chawala, Milali, Muta, Lwamo, Malima (wote wawili), Mwamunyi, Tete, Mwamfupe aka Unyamaunyama, Tembo, Sichone (RIP), Tandika, KIPATICLE (aka), Mshani, Elia aka TRIANGLE

Ongeza wengine ambao sijawataja na matendo yao ambayo hutayasahau.
Je Mazengo imekufanya ujivunie kusoma pale?

Nimefuatilia nikaona kumbe inahusu vijana waliosoma Mazengo wakati wa dot.com
Sisi wa zamani kulikuwa na akina Mwakyembe, Puri au Suri (Singasinga), Mathew, Mlaponi, Former naibu waziri wa elimu - jina limenitoka kwa kwa sasa alikuwa mkali wa Physical Chemistry, Mkoba (head master), Msasa (second master) etc
 
Wewe leta uzoefu wako mkuu ili tujue ya zamani. Hao sikuwakuta mie. Mie binafsi niliingia pale 98.
 
Ha ha ha nilishasema nyie vijana wa leo. Mimi nimemaliza pale 1984! Wewe umekuja kuingia miaka 14 baadaye! Najaribu ku-imagine wakati namaliza lost likely ulikuwa shule ya msingi. Toka shuleni hadi Kikuyu flats ilikuwa pori kabisa
 
ni kweli watu tulipita hapo ktk miaka tofauti.mimi nilitoka hapo 1997(a level)
 
Back
Top Bottom