Waliosoma Bihawana Boys Dodoma! Mje Hapa Tukumbushane Maisha.

mzama chumvini

JF-Expert Member
Mar 14, 2016
730
641
Sabakher wadau;
Tuliosoma Bihawana Boys Tukutane Hapa!
Mi nilimaliza A LEVEL Pale PCB Mwaka 2011! Darasa La Karibu Na Bweni La Soweto!! Nilikuwa Nalala Mandela! Bweni La Wapenzikaji!! Kuja Hapa Tukumbushane Upuuz Wa Maharage Yenye Funye Na Mbwembwe Za Ngusulu!
 
Back
Top Bottom