Waliosema TBCCM hawakukosea.

Tangu Wafungie Azam Kuonesha Chanel Za Ndan Na Taarifa Ya Habari Nimebaki Kufuatilia Tamthiliya Ya Sultana.
 
Kwanza nikupe hongera na pole ya kuangalia hicho kitu
 
Unazani dk. Lyoba aipendi kazi yake..
Mwache alee watoto wake kwa furaha kama baba wa familia.

Nukuu kutoka kwa waziri wa viwanda mwijage.
Wanatueleza ya kutoka moyoni mwao
 
Si unajua sisi wengine ni kinatomaso?
Muda mwingi nilikuwa natazama ITV na AZAM TV.
Leo nikasema ngoja niangalie ufungaji kampeni kupitia TBC, mfyuuu aibu tupu
Acha mihemko TBC wapo Sawa maana Ukonga piga ua Waitara mshindi na monduli ni kalanga! Unabisha
 
Hata mngekuwa nyie mngefanya walivyofanya TBC.Ni lazima upime upepo na kujua wakubwa wako wantaka nini.
ITV waliripoti kuporwa sanduku la kura na baada ya muda wakaomba radhi na sina uhakika kama yule mwandishi bado ypo kazini.
 
Hata mngekuwa nyie mngefanya walivyofanya TBC.Ni lazima upime upepo na kujua wakubwa wako wantaka nini.
ITV waliripoti kuporwa sanduku la kura na baada ya muda wakaomba radhi na sina uhakika kama yule mwandishi bado ypo kazini.
Mwandishi yupi huyo mtaje jina tukupe ukweli
 
Mkuu leo ndo unalifahamu hilo...!
 
mkuu wala sio mnyama ni lichaneli la jiwe, ingawa pia jiwe halizai kama ulivyosema!
 
Hahahaha wewe na akili zako timamu kabisa utaangaliaje TV ya hovyo namna hiyo?; Pole sana mkuu hii ndio chini ya utawala wa rais kichaa kama alivyosema yeye mwenyewe
 
Eti Televisheni ya taifa...
Waibatize tu kuwa ni Televisheni ya Chama na Serikali
Neno "Television ya Taifa" ni nadharia tu lakini kiuhalisia hii ni siyo TV ya umma bali ni TV ya ccm na ilipaswa iitwe CCM TV badala ya kuendelea kunajisi jina la Taifa
 
Umetumia kanuni gani kupata hizo asilimia?
 
TBC hata ikibakia yenyewe tu kwenye king'amuzi siwezi kuiangalia
 
Mkuu,bado unaangalia TBC mpaka hivi leo?
Jitahidi uende na wakati!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…