Hatujakosea kabisa kuwa hilo shirika la utangazaji linaitwa TBCCMLeo niliamua kuangalia TBC kuona watakavyo ripoti ufungaji wa kampeni za Ukonga na Monduli.
1. Monduli: TBC wameripoti taarifa za CCM tu.
2. Ukonga: TBC wameripoti 98% taarifa za CCM na 2% taarifa za CHADEMA.
Kama haitoshi wakaenda kuripoti taarifa za ufungaji kampeni za udiwani za CCM huko Tukuyu Mbeya.
Kwakweli mlioibatiza TBC kuwa nivTBCCM hamkukosea.
Wewe ni very slow learnerKweli nimeamini JF members mko vizuri
Anaiaibisha Taaluma yake balaa...Unazani dk. Lyoba aipendi kazi yake..
Mwache alee watoto wake kwa furaha kama baba wa familia.
Nukuu kutoka kwa waziri wa viwanda mwijage.
Yani hata mimi nimeona... ndio maana sitazami LICHANELI HILI....Leo niliamua kuangalia TBC kuona watakavyo ripoti ufungaji wa kampeni za Ukonga na Monduli.
1. Monduli: TBC wameripoti taarifa za CCM tu.
2. Ukonga: TBC wameripoti 98% taarifa za CCM na 2% taarifa za CHADEMA.
Kama haitoshi wakaenda kuripoti taarifa za ufungaji kampeni za udiwani za CCM huko Tukuyu Mbeya.
Kwakweli mlioibatiza TBC kuwa nivTBCCM hamkukosea.
hahah... na bado.. POLYFIX mwanzo mwisho.. sometimes najuta kuzaliwa TZLeo niliamua kuangalia TBC kuona watakavyo ripoti ufungaji wa kampeni za Ukonga na Monduli.
1. Monduli: TBC wameripoti taarifa za CCM tu.
2. Ukonga: TBC wameripoti 98% taarifa za CCM na 2% taarifa za CHADEMA.
Kama haitoshi wakaenda kuripoti taarifa za ufungaji kampeni za udiwani za CCM huko Tukuyu Mbeya.
Kwakweli mlioibatiza TBC kuwa nivTBCCM hamkukosea.
Yani hata mimi nimeona... ndio maana sitazami LICHANELI HILI....
Ni kinyaa kitupu... Nimetukana hapa...Si unajua sisi wengine ni kinatomaso?
Muda mwingi nilikuwa natazama ITV na AZAM TV.
Leo nikasema ngoja niangalie ufungaji kampeni kupitia TBC, mfyuuu aibu tupu
Leo niliamua kuangalia TBC kuona watakavyo ripoti ufungaji wa kampeni za Ukonga na Monduli.