Waliorejea shuleni baada ya kujifungua waomba hosteli kuishi na watoto

mshale21

JF-Expert Member
Apr 8, 2021
2,049
4,904
Baadhi ya wanafunzi waliorejea shuleni baada ya kukatisha masomo kutokana na ujauzito wameomba kujengewa hosteli ambazo zitawasaidia kuishi na watoto wao.

Wamesema hosteli hizo zitawasaidia kuwa karibu na watoto wao kwa sababu kwa sasa wanakosa umakini wakiwa darasani kutokana na kuwa mbali nao.

Wametoa rai hiyo juzi wakati Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia (WB), Dk Victoria Kwakwa alipofanya ziara katika Shule ya Msingi Turiani ya kufuatilia utekelezaji wa mradi wa kuwarejesha masomoni wanafunzi waliokatisha masomo kutokana na matatizo mbalimbali, ikiwamo ujauzito ambapo Shule hiyo ni mojawapo ya wanaotekeleza mradi huo.

Mmoja wa wanafunzi waliorejea masomoni baada ya kukatisha kwa miaka miwili kutokana na ujauzito, Joan Machange, alimuomba Dk Victoria waboreshewe miundombinu ya kujifunzia ili waondokane na mfumo wa kusoma nadharia.

“Tunaomba tujengewe hosteli kwa sababu tunatoka mbali, tunafika nyumbani tumechoka hivyo tunakosa muda wa kusoma, pia hii itatusaidia kuwa karibu na watoto wetu kwa sababu wakati mwingine tunakosa umakini darasani kutokana na mazingira tuliyowaacha watoto wetu,” alisema.

Kwa upande wake Dk Victoria amesema wataendelea kushirikiana na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia ili sekta hiyo ifanyiwe maboresho kuwezesha wanafunzi wengi kurudi masomoni.

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amesema Serikali ingewazuia wanafunzi hao kurudi masomoni kama wanatoka familia masikini ndoto zao zingeisha.

“Rais Samia aliagiza tuwarejeshe wanafunzi hawa wasome, tuna mkakati wa kuwarejesha watoto wote walioacha shule, tayari tumewarejesha watoto 3,333, kati ya hao 900 wamerejea kwenye mfumo wa elimu wa kawaida na wengine kupitia elimu mbadala na watachukua miaka miwili kumaliza elimu ya sekondari,” amebainisha Profesa Mkenda.
 
Dar es Salaam. Baadhi ya wanafunzi waliorejea shuleni baada ya kukatisha masomo kutokana na ujauzito wameomba kujengewa hosteli ambazo zitawasaidia kuishi na watoto wao.

Wamesema hosteli hizo zitawasaidia kuwa karibu na watoto wao kwa sababu kwa sasa wanakosa umakini wakiwa darasani kutokana na kuwa mabli nao.

Huo ni mwanzo tu.

Na bado watahitaji haki ya watoto kupata malezi ya baba na mama.

Unaporuhusu sheria moja kuvunjwa, unasababisha nyingine kuendelelea kuvunjwa. Hawa akina mama walipaswa kuandaliwa utaratibu maalum wa kupata elimu nje ya mfumo rasmi!
 
Dar es Salaam. Baadhi ya wanafunzi waliorejea shuleni baada ya kukatisha masomo kutokana na ujauzito wameomba kujengewa hosteli ambazo zitawasaidia kuishi na watoto wao...
Hizi ndio akili za wanawake takers, privelege seekes, proffesional beggers. Wanawake siku zote wanawaza kupewa na kupewa na kupewa na kupewa hata wanapokua katika mazingira walioharibu wanawaza kuchubua na kuchuku na kupewa na kupewa na hiyo wanaona ni haki yao.

Haya hata wakijengewa hostel matadai wapewe na mahitaji wakipewa watadai waajiriwe na mahouse girl wa kuwalelea matoto ili maweze "kua makini na masomo", wakipewa watadai wapewe hela za kujikimu, wakipewa watadai waletewe baba za watoto wao ili wasiwe wapweke takers have no shame
 
Dar es Salaam. Baadhi ya wanafunzi waliorejea shuleni baada ya kukatisha masomo kutokana na ujauzito wameomba kujengewa hosteli ambazo zitawasaidia kuishi na watoto wao.

Wamesema hosteli hizo zitawasaidia kuwa karibu na watoto wao kwa sababu kwa sasa wanakosa umakini wakiwa darasani kutokana na kuwa mabli nao.

Wametoa rai hiyo juzi wakati Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia (WB), Dk Victoria Kwakwa alipofanya ziara katika Shule ya Msingi Turiani ya kufuatilia utekelezaji wa mradi wa kuwarejesha masomoni wanafunzi waliokatisha masomo kutokana na matatizo mbalimbali, ikiwamo ujauzito ambapo Shule hiyo ni mojawapo ya wanaotekeleza mradi huo.

Mmoja wa wanafunzi waliorejea masomoni baada ya kukatisha kwa miaka miwili kutokana na ujauzito, Joan Machange, alimuomba Dk Victoria waboreshewe miundombinu ya kujifunzia ili waondokane na mfumo wa kusoma nadharia.

“Tunaomba tujengewe hosteli kwa sababu tunatoka mbali, tunafika nyumbani tumechoka hivyo tunakosa muda wa kusoma, pia hii itatusaidia kuwa karibu na watoto wetu kwa sababu wakati mwingine tunakosa umakini darasani kutokana na mazingira tuliyowaacha watoto wetu,” alisema.

Kwa upande wake Dk Victoria amesema wataendelea kushirikiana na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia ili sekta hiyo ifanyiwe maboresho kuwezesha wanafunzi wengi kurudi masomoni.

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amesema Serikali ingewazuia wanafunzi hao kurudi masomoni kama wanatoka familia masikini ndoto zao zingeisha.

“Rais Samia aliagiza tuwarejeshe wanafunzi hawa wasome, tuna mkakati wa kuwarejesha watoto wote walioacha shule, tayari tumewarejesha watoto 3,333, kati ya hao 900 wamerejea kwenye mfumo wa elimu wa kawaida na wengine kupitia elimu mbadala na watachukua miaka miwili kumaliza elimu ya sekondari,” amebainisha Profesa Mkenda.
😂😂😂😂 hoja na vioja!!
 
Back
Top Bottom