moa mmari
Member
- Jun 25, 2015
- 38
- 3
Hivi huko kwenu wanawake wengi sana?
Vipi hali ya sasa wanawake wapo kweli?
Wanaume mnawafanya nini wanawake?
Maana hawa wadada wa huko wamekuwa gumzo mikoa mingi huu mkoa wa tanoLeo nawakuta maeneo yao Pub, Grocery, Bar Night Clubs. Na niamsha amsha hatari kweli maeneo hayo,
Maswali ni hayo hali ipoje huko singida?
Sent using Jamii Forums mobile app