Chuo kikuu cha Dar-es-Salaam(UDSM) kimetoa majina ya waliofanikiwa kupata mkopo kwa mwaka wa masomo 2014/15. Nimeattach hapa chini na yapo katika mfumo wa PDF
Guys kwenye hizo columns za loan division ya stationery , tuition fees , meals and accommodation sasa kuna column moja imeamdikwa (SFR) hiyo ina maana gani???
Cha kusikitisa namba inakuwa kubwa ila % inayotolewa ni ndogo sana kwa idadi kubwa ya watu ili wakienda kule wanataja namba kubwa ya waliopata mikopo huku mzigo mkubwa ukibaki kwa familia
Guys kwenye hizo columns za loan division ya stationery , tuition fees , meals and accommodation sasa kuna column moja imeamdikwa (SFR) hiyo ina maana gani???