Hb wa Ilala
JF-Expert Member
- Sep 23, 2015
- 1,190
- 1,217
tupo wengi sana mimi nacte wameniandikia selected udom bt bado admission kuipata ni tatizo
View attachment 301823View attachment 301824View attachment 301825hizi hapa medical form na registration forms za kujaza .
Chuo registration inaanza 31 oct na chuo kinafunguliwa tarehe 2 nov
Mkuu Tafadhali Naomba Unitumie Kwenye Emaili Hii..lusatosospeter@gmail.com Nimeshindwa Kuzipakua Hapa Mkuu..Nisaidie
hizi hapa medical form na registration forms za kujaza .
Chuo registration inaanza 31 oct na chuo kinafunguliwa tarehe 2 nov
madhara yake ni kutopokelewa chuoni,cdhan kama kuna madhara mengine.But haina madhara kwenda bila admission latter wakuu
Mkuu naomba nami unitumie kwenye hamisi12740067@gmail.com
sisi wa second selection majina bado hayajaja lakini naskia chuo knafunguliwa tarehe 2 kwa aliye na uelewa wa vitu vnavyoitajika kwa mwaka wa kwanza tusaidiane