TECHMAN JF-Expert Member Joined May 20, 2011 Posts 2,649 Reaction score 1,128 Dec 22, 2014 #1 Kama kuna mwenyenye link ya wavuti yenye majina tafadhali saidia. nimejaribu necta na moe lakini sijaona
Kama kuna mwenyenye link ya wavuti yenye majina tafadhali saidia. nimejaribu necta na moe lakini sijaona
Afande Nyati JF-Expert Member Joined Nov 10, 2012 Posts 2,385 Reaction score 1,414 Dec 22, 2014 #2 Utaratibu mbovu kweli mkuu, inabidi wabadirike bana hii ni dunia ya digital now. Kila kitu kimerahisishwa.
Utaratibu mbovu kweli mkuu, inabidi wabadirike bana hii ni dunia ya digital now. Kila kitu kimerahisishwa.
Afande Nyati JF-Expert Member Joined Nov 10, 2012 Posts 2,385 Reaction score 1,414 Dec 22, 2014 #3 http://www.kinondonimc.go.tz/index.php/84-kinondoni/latest-news/184-mnada-wa-magari-na-mitambo. Jaribuni kufungua link hiyo. Kwa wa D'salaam.
http://www.kinondonimc.go.tz/index.php/84-kinondoni/latest-news/184-mnada-wa-magari-na-mitambo. Jaribuni kufungua link hiyo. Kwa wa D'salaam.
Mlalamikaji daily JF-Expert Member Joined May 19, 2014 Posts 1,020 Reaction score 2,374 Dec 22, 2014 #4 nenda kwenye halmashauri au shule husika.
Swahilian JF-Expert Member Joined Apr 28, 2009 Posts 593 Reaction score 70 Dec 22, 2014 #5 digitali baada ya kutengeneza imeharibu, zamani ilikuwa fasta ukiingia ktk wavuti ya necta umemaliza, teknolojia imekua imeleta usumbufu
digitali baada ya kutengeneza imeharibu, zamani ilikuwa fasta ukiingia ktk wavuti ya necta umemaliza, teknolojia imekua imeleta usumbufu