Alex Fredrick
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 710
- 1,365
Kazi waliyopewa ni kuhakikisha Taifa stars inashiriki AFCON.Mkuu hio kamati ni ya roho mbaya, isitoshe kila wakipata nafasi badala ya kueleza mikakati mizuri ya ushindi wao huanza kumsifia jiwe, hin kamati ina laana, ndio maana ina ahidi vilevi vitapungua bei!
Tff siku za nyuma walitangaza kamati wezeshi ya kuhakikisha tunashiriki michuano ya Afcon kule Misri mwaka huu,Kamati hii ya ushindi ilikuwa inaongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda.Baada tu ya Makonda kutangazwa tu kuongoza kamati tumeshuhudia baadhi ya wadau humu kwenye mitandao ya kijamii wakibeza hili na kuingiza mada za kisiasa ilimradi tu kumkatisha tamaa Makonda.Wengine walienda mbali zaidi kwamba kwanini asitumie wachezaji wa zamani kama chachu ya ushindi na si kuwatumia wasanii kama alivyofanya?Leo wale wote mliokuwa mnambeza Makonda na kamati yake mmeumbuka na hatimaye Taifa stars imefuzu michuano ya AFCON.Mwisho Baniani mbaya kiatu chake dawa..Hongera sana RC Makonda na kamati yako kwa ushindi wa leo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kazi waliyopewa ni kuhakikisha Taifa stars inashiriki AFCON.
Au hujasikia matokeo ? Kazi waliyopewa wameikamilisha vizuri sana na tunafuraha sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kamati ingekua na laana leo Tanzania ingefungwa. Sijui labda unaongelea LAANA ipiMkuu hio kamati ni ya roho mbaya, isitoshe kila wakipata nafasi badala ya kueleza mikakati mizuri ya ushindi wao huanza kumsifia jiwe, hin kamati ina laana, ndio maana ina ahidi vilevi vitapungua bei!
Bia za nusu bei ziko wapi kwanza au ndo mlitujaza ujinga??
Wewe ni bwege kweli Makonda ndiye kafunga magori ama..?Tff siku za nyuma walitangaza kamati wezeshi ya kuhakikisha tunashiriki michuano ya Afcon kule Misri mwaka huu,Kamati hii ya ushindi ilikuwa inaongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda.Baada tu ya Makonda kutangazwa tu kuongoza kamati tumeshuhudia baadhi ya wadau humu kwenye mitandao ya kijamii wakibeza hili na kuingiza mada za kisiasa ilimradi tu kumkatisha tamaa Makonda.Wengine walienda mbali zaidi kwamba kwanini asitumie wachezaji wa zamani kama chachu ya ushindi na si kuwatumia wasanii kama alivyofanya?Leo wale wote mliokuwa mnambeza Makonda na kamati yake mmeumbuka na hatimaye Taifa stars imefuzu michuano ya AFCON.Mwisho Baniani mbaya kiatu chake dawa..Hongera sana RC Makonda na kamati yako kwa ushindi wa leo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kamati ingekua na laana leo Tanzania ingefungwa. Sijui labda unaongelea LAANA ipi
The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
mkuu acha kujishushia hadhiHivi kwa akili yenu Uganda wangekuwa hawaqualify leo wangekubali kufungwa?
Hivi kwa akili yenu Uganda wangekuwa hawaqualify leo wangekubali kufungwa?
Ni timu gani inakubali kufungsa hata kama imequalify we cha..u?Hivi kwa akili yenu Uganda wangekuwa hawaqualify leo wangekubali kufungwa?
Mkuu hio kamati ni ya roho mbaya, isitoshe kila wakipata nafasi badala ya kueleza mikakati mizuri ya ushindi wao huanza kumsifia jiwe, hin kamati ina laana, ndio maana ina ahidi vilevi vitapungua bei!
Unaharisha wewe uliye mezeshwa mayai mabichi
Makonda kahamasisha watu kushangilia stars na wachezaji wamepata nguvu na wale wa Uganda kujiona inferior. Mbona hii iko wazi? Bila makelele the crane mngewawezea wapi nyie?Huo ndio upumbavu unao endelezwa na watu wasiyo na vision za kimaendeleo unavyo zidi kulighalimu taifa yaani hapo Makonda kafanya nini cha zaidi hadi uanze kumsifia ujinga ujinga?kafunga magoli mangapi?
In God we trust
Hivi kwa akili yenu Uganda wangekuwa hawaqualify leo wangekubali kufungwa?