Waliokulia udogoni na Paul Pogba walazimisha awalipe fadhila

Adebayo aliwaita ndugu zake akawauliza, tufanye nini kama familia ili mambo yetu wote yasiende mlama. Mtu wa kwanza kutoa ushauri kwenye kikao kasema, haa mimi sitaki chochote, nataka unipe hela yangu tu kila mwezi mambo yangu ntajua mwenyewe.
 
Waafrika akili zetu sijui zipoje. Kisa kama hicho ndugu yetu mmoja alikuwa anaumwa anahiji kufanyiwa operesheni. Mwenyewe hana kitu,tukajipanga kumpeleka hospitality, akadai nipeni hela zangu hospitali ntaenda Mwenyewe. Tukamuuliza hela zako kivipi? Alitaka akapigie pombe tu.
Hahahaha uwiiiiu
 
Kama alishawahi kuwapa chochote kama marafiki basi awaache waropoke, mpaka hapo washaropoka, labda waje wamuue hilo ndo mbaya, maana hawachelewi mpiga risasi na ushahidi ukapotezwa. Ila dah kisa urafiki ndo wadai hiyo pesa yote?
 
Natarajia kuhamia ulaya hivi karibuni panapo maajaliwa ila sijui na mimi yatanikuta haya kwa ndugu zangu, kwani waafrika sisi tuna matatizo jamani sijui tukoje tumejaa uvivu, chuki, wivu, njaa na kila aina ya mambo ya hovyo

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Wala hatuna shida na wewe, kabla hujahama weka mazingira sawa, masela wako walipe pia na michepuko yako ilipe maana hatuchelewi kukupeleka ustawi wa jamii😀😀😀na kukubambikizia mimba ulizoacha tumboni
 
Natarajia kuhamia ulaya hivi karibuni panapo maajaliwa ila sijui na mimi yatanikuta haya kwa ndugu zangu, kwani waafrika sisi tuna matatizo jamani sijui tukoje tumejaa uvivu, chuki, wivu, njaa na kila aina ya mambo ya hovyo

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Watu wanapenda sana hela za bure siku hizi.
 
Ni kwamba pogba alishaendaga na masela zake kwa mganga(kitambo) ili wamroge MBAPPE na aliewapeleka kwa mganga ni kaka yake pogba(florent)..sasa masela wanalazmisha mkwanja ili wafiche siri,WAHUNI WANA NJAA SANA YAN MTU ALIPWE POUND 350K+ PER WEEK,ANAGAWA NUSU YA PESA YAKE ANAWAPA,BADO WAMUIBIE HALAFU BADO WAJAZANE KWENYE KA LAMBORGHINI KAMOJA DHARAU SANA..halafu anaesuka mipango ni kaka wakuzaliwa
Hivi sisi ngozi nyeusi tuna shida gani? Kashawapa ila bado hawana shukrani? Hawa wapuuzi wasije muua jamani? Pesa hiyo mbona kubwa hawana huruma anaipata kwa shida nae?
 
Adebayo aliwaita ndugu zake akawauliza, tufanye nini kama familia ili mambo yetu wote yasiende mlama. Mtu wa kwanza kutoa ushauri kwenye kikao kasema, haa mimi sitaki chochote, nataka unipe hela yangu tu kila mwezi mambo yangu ntajua mwenyewe.
Waafrika bhanadah nimecheka sana
 
Sio kweli alikuwa anawatumia hela nyumbani kwao wamjengee nyumba alipokuja likizo hakuna nyumba wala kiwanja akawasamehe ndo akapunguza kuwatumia hela.
Waafrika hatubebeki kwa mfano:–

Mbwana samatta nyumbani kwao kuna gari tatu
Zimeshaanza kuharibika ukipita nje kwao unaziona ndugu zake aliwafungulia biashara aliwaambia waweke gari mafuta waendeshe ila zikawashinda zipo zinakula jua zimechoka kweli, kweli na samata huyo aliwatumia ndugu zake ramani ya nyumba wamjengee alivyorudi akakuta tofauti akaishisha chini akaanza upya kujenga.

Samata hyo hyo aliwaaachiaa ndugu zake coaster wasimamie ila zikiharibika bado wanamuomba hela yeye akahamishia kwa mke wake hisabu
Yaani waafrika sisi tuna matatizo mengi sana yaani ndugu mmoja akifanikiwa basi wengine wote hawafanyi kazi wanamtegemea mtu mmoja tu aendeshe familia na shukrani hawana.
Hapa nilipo nimerudishwa nyuma na Kaka zangu wawili tumbo moja. Yaani watu wanapenda pesa mno za kupewa Ila kujitoa mhanga hawapo tayari. Yaani sie Ni masikini Ni kwa sababu sio kuwa Ni bure jamani. Yaani afrika vichwa vyetu sijui viliwekewa Nini
 
Kweli kabisa mkuu hata washikaji zake samata pale mbagala wameoa na wanafamilia ila ilikuwa wanamuomba hela mara kwa mara samata ikabidi akawaambia wa organize watafute kitu cha kufanya atawasaidia ndo wakaja na wazo la SAMAKIBA FOUNDATION wanaoendesha lile tamasha ni marafiki zake samata alio soma nao na kukua nao mtaa mmoja pesa wanachukua wao ila wale wachezaji wanalipwa hela ya mafuta maana ni charity game ila waafrika wote tunafanana tunatofautiana maeneo tunayotoka tu.
SAMAKIBA FOUNDATION unamaanisha Ni ulaji shekhe?
 
Back
Top Bottom