Habarini wanaJF naomba kufahamishwa wale vijana waliotakiwa kujiunga na JKT December mwaka jana walipata fursa ya kujiunga na vyombo vya ulinzi & usalama au walirudi majumbani baada ya kumaliza? Nina ndugu yangu kashindwa kufanya application ya chuo kikuu kwa sababu ya ufaulu ana principle pass moja a subsidiary na hakwenda JKT kwa mujibu wa sheria 2017, je anaweza kuomba kubakia jeshini kama awamu ya pili ya JKT mujibu wa sheria itatoka?