Waliokosa kazi Kahama watishia usalama wa raia serikali chukueni hatua

eddy

JF-Expert Member
Dec 26, 2007
15,039
9,953
Genge kubwa la vijana zaidi ya elfu mbili waluipugwa baada ya serikali kungangania makinikia wametishia kujiingiza kwenye vitendo vya kihalifu iwapo nssf haitawalipa pesa yao kufikia wiki ijayo.

Tishio hilo sio la kupuuza hivyo serikali ichukue hatua za haraka kunusuru maisha ya raia. Pili ni vyema waziri wenye dhamana wanapaswa kuingilia kati. Tatu, serikali imruhusu huyu mzungu auze mitambo yake na kuondoka ili vijana hawa wajipatie kipato kwa kuchimba masalia kudogo ya dhahabu waweze kujikimu kimaisha.
 
sio lazima Mzungu auze mitambo
hiyo ni tisha toto
hebu watafute kazi nyingine mbona wenzao wamachinga wanajibana hivyohivyo?
 
Tuliza akili kwanza mkuu, ili unandike ujumbe murua. Pia kutaja neno "Genge" limepunguza busara/hadhi ya hao vijana angalau ungesema "Kundi".

Mm mwenyewe, muda huu (wiki hii) nipo hapa Kahama mtaa wa Nyahanga, na shughuli zangu ni hapo Lumambo brbr ya Kwnd Ulowa. Mji uko shwari kabsa. Hasra za J. Lembeli kushindwa zisikupe povu.
IMG_20180509_194557_529.JPG
 
Genge kubwa la vijana zaidi ya elfu mbili waluipugwa baada ya serikali kungangania makinikia wametishia kujiingiza kwenye vitendo vya kihalifu iwapo nssf haitawalipa pesa yao kufikia wiki ijayo.

Tishio hilo sio la kupuuza hivyo serikali ichukue hatua za haraka kunusuru maisha ya raia. Pili ni vyema waziri wenye dhamana wanapaswa kuingilia kati. Tatu, serikali imruhusu huyu mzungu auze mitambo yake na kuondoka ili vijana hawa wajipatie kipato kwa kuchimba masalia kudogo ya dhahabu waweze kujikimu kimaisha.
Hela zao mmechukua ccm walipeni acheni ufisadi kwenye jasho la mwanaume
 
Tuliza akili kwanza mkuu, ili unandike ujumbe murua. Pia kutaja neno "Genge" limepunguza busara/hadhi ya hao vijana angalau ungesema "Kundi".

Mm mwenyewe, muda huu (wiki hii) nipo hapa Kahama mtaa wa Nyahanga, na shughuli zangu ni hapo Lumambo brbr ya Kwnd Ulowa. Mji uko shwari kabsa. Hasra za J. Lembeli kushindwa zisikupe povu.View attachment 771568
Kaa hapohapo hadi wiki ijayo usikilize mziki
 
Genge kubwa la vijana zaidi ya elfu mbili waluipugwa baada ya serikali kungangania makinikia wametishia kujiingiza kwenye vitendo vya kihalifu iwapo nssf haitawalipa pesa yao kufikia wiki ijayo.

Tishio hilo sio la kupuuza hivyo serikali ichukue hatua za haraka kunusuru maisha ya raia. Pili ni vyema waziri wenye dhamana wanapaswa kuingilia kati. Tatu, serikali imruhusu huyu mzungu auze mitambo yake na kuondoka ili vijana hawa wajipatie kipato kwa kuchimba masalia kudogo ya dhahabu waweze kujikimu kimaisha.
Hiyo ni kanda pendwa, watasikilizwa
 
Pana wizi sana wa betri za magari huko Kahama magari usiku hayana usalama. Wengi wamelizwa. Kuweni macho.
 
Kwanini wasidai haki yao kutoka kwa wadai wao na badala yake wanatishia raia? Raia wana makosa gani? Kitisho chao kinaonyesha woga walionao. Wanajua wakiitishia serikali watapata kipigo cha mbwa.
 
Pana wizi sana wa betri za magari huko Kahama magari usiku hayana usalama. Wengi wamelizwa. Kuweni macho.
Pamoja na wizi wa betri kuna ongezeko kubwa la wamama wanaojiuza. Maeneo ya phantom kuanzia saa nne usiku utakutana wamama wakitembeatembea wakisaka riziki kutoka kwa madereva wa transit.
 
Back
Top Bottom