Sio mbaya ukipm namba yako na password tukusaidie kuangaliJaman mm ile jumapili niliangalia nkakuta nmepangwa tumaini but now kila nkijarb kuload page zinagoma yan hata sijui kama jina language lipo au lah, msaada plz ..mchana mwema
uliangalia ukaona hawajakuchagua?Daah yan janga la taifa nmepata 2 o level advance nmepat 2 cjapangiwa chuo hata cjui nifanyaje
Nimeandikiwa hivi DEAR APPLICANT. YOU ARE HERE BECAUSE YOU NEITHER BEING PROVISIONALLY SELELECTED NOR APPLIED IN THE FIRST ROUND OF APPLICATIONuliangalia ukaona hawajakuchagua?
ndio kana sisi hao...ndo kukosa huko asee[emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30]Nimeandikiwa hivi DEAR APPLICANT. YOU ARE HERE BECAUSE YOU NEITHER BEING PROVISIONALLY SELELECTED NOR APPLIED IN THE FIRST ROUND OF APPLICATION
Umesoma comb gan? Na ulichagua wap pmj na programme zako 3 za kwanzaDaah yan janga la taifa nmepata 2 o level advance nmepat 2 cjapangiwa chuo hata cjui nifanyaje
Nilisoma commercial o level advance HGLUmesoma comb gan? Na ulichagua wap pmj na programme zako 3 za kwanza
Pourpole sana jaribu chuo kingine
Makumira pia iko poa jarbu hukoPour
ungechagua ualimu, ungepata sheheeDaah yan janga la taifa nmepata 2 o level advance nmepat 2 cjapangiwa chuo hata cjui nifanyaje
UmepataProvisionally selected inamana ganii??
maana ake umechaguliwa kwa muda kinachofuata ni kuambiwa chuo gan umedondoshwaProvisionally selected inamana ganii??
Provisionally selected inamana ganii??
Kuwa mpole ndugu hapo ushatemwa ......!WanaJamiiForums kwa wale waliokosa vyuo sasa inakuaje maaana vimebaki vyuo vya private vingi na vyuo vipi ni vizuri ku apply Kuna ndugu yangu aliomba law udom udsm na mzumbe kakosa sasa vyuo gani vizuri ambayo vinatoa kitivo cha sheria kiufanisi ili ajaze.
Msaaada wenu Please wadau.
Taja coz zako 3 za kwanza pmj na vyuo at least inaweza ku2pa mwanga y hujachaguliwaNilisoma commercial o level advance HGL