Junglefever
Member
- Jul 22, 2012
- 11
- 2
Tanzania haiko shwari, mambo hayaendi sawa madini tunaibiwa,meno ya tembo tunaibiwa tukiuliza tunapigwa longo longo tunapotezea maisha yana kwenda sio sawa kabisa.
Sera yetu iwe ni UZALENDO kwa nchi yetu,CCM isipo endana na sera yetu,tunawamwaga,watakao ingia madarakani na wao(CHADEMA) wasipotekeleza tunapiga chini pia.
Proudly Tanzanian.
Sera yetu iwe ni UZALENDO kwa nchi yetu,CCM isipo endana na sera yetu,tunawamwaga,watakao ingia madarakani na wao(CHADEMA) wasipotekeleza tunapiga chini pia.
Proudly Tanzanian.